Ginehe ngoshaKikubwa hawajawahi kuja kwako kuomba msaada.
Nyanoko
Achemshe na maji ya kuoga kabisa, na chaiShem amka unipasie nguo niende kazini, dada ako ajisikii vizuri leo.
Uwe unaacha ujinga wa kumind business za watu, hio ni volume business, hizo miamia zikwa mia si 10k tyrWakuu,
Binafsi naonaga hii biashara ni kuzungusha hela tu. Yani watu wanafanya mazoea tu lakini hakuna faida
Yaani naonaga watu wanafanyaga tu ili kupotezea muda na kuwa na chenji chenji muda wote lakini in reality hakuna faida ya kueleweka
Kitu kinauzwa 500. Hapo unapata faida ya shingapi?
Biashara ni sanaa na ni kipaji.. Kama huna hivyo vitu viwili utaishia kubezaWakuu,
Binafsi naonaga hii biashara ni kuzungusha hela tu. Yani watu wanafanya mazoea tu lakini hakuna faida
Yaani naonaga watu wanafanyaga tu ili kupotezea muda na kuwa na chenji chenji muda wote lakini in reality hakuna faida ya kueleweka
Kitu kinauzwa 500. Hapo unapata faida ya shingapi?
Yani watu wanafanya mazoea tu lakini hakuna faida.
Tupe Alternative business mkuuWakuu,
Binafsi naonaga hii biashara ni kuzungusha hela tu. Yani watu wanafanya mazoea tu lakini hakuna faida
Yaani naonaga watu wanafanyaga tu ili kupotezea muda na kuwa na chenji chenji muda wote lakini in reality hakuna faida ya kueleweka
Kitu kinauzwa 500. Hapo unapata faida ya shingapi?
Of course biashara ya duka la rejareja Kwa mahitaji ya nyumbani huwa haina faida kubwa Kwa item moja moja
Ila kadri unavyouza kwa wingi ndipo faida inapopatikana.
Ukitengeneza faida ya 20,000/Siku ni shilingi 600,000 hiyo Kwa Mwezi
Kama mjanja, unaweka na lipa namba/Mpesa humo humo ili kuongeza profit margin