Hakuna biashara isiyotengeneza faida kama hii. Sijui kwanini Wabongo mnakimbilia huku?

Hivi kumbe ukitumia lipa namba profit margin inaongezeka?

Sio kwamba kwenye lipa namba kuna makato mkuu
Nilikuwa namaanisha some sort of Uwakala

Yaani Ofisi Moja ya duka la mahitaji ya nyumbani lakini hapo hapo unapiga na ishu za transactions za miala ambapo Mwisho wa Mwezi unapata commissions zako

Kwahiyo kwenye duka ukipata 600k ukiongeza commissions za Uwakala maybe 350k

Tayari una milioni hiyo 👊
 
Kuna jamaa duka lake lipo location nzuri sana. Ila shida hana mtaji. Nilimshauri aweke lipa namba na awe anawapa wateja hamasa ya kulipa kwa simu itamsaidia kuipata mtaji wa miamala lakini pia kuwapa wateja urahisi wa kulipia bidhaa kwa urahisi.

Imagine mtu ana 1,000 au 600. Amekuja Dukani anatamani soda sasa ana amini hana hela ila kumbe kukiwa na lipa namba anaweza kupata soda takeaway au akapata soda na andazi.
 
Sio easy hivyo mkuu
 
Ni kweli Mkuu, asingekosa 300k ama 400k Kwa Mwezi
 
Biashara ya makava ya simu inalipa sana mjini naona jamaa dukani wanauza kava 10 tu za simu ila wanatembelea crown
 
Sasa kama iyo faida inamtosha muwekezaji, si umuache au unataka umpangie jinsi ya kuishi anko 😀😀
 
Pepsi inauzwa sh 600/= hivi kiwanda kinapata sh ngapi?
Mpumbavu wewe.
Unaiona TCC kampuni ya sigara ilivyo na maisha mazuri?
Sigara ni sh 100/=
Unawaza kama nzi vile.
 
Pepsi inauzwa sh 600/= hivi kiwanda kinapata sh ngapi?
Mpumbavu wewe.
Unaiona TCC kampuni ya sigara ilivyo na maisha mazuri?
Sigara ni sh 100/=
Unawaza kama nzi vile.
Na Super glue inatoka China, lakini hapa tz inauzwa jero
 
Pepsi inauzwa sh 600/= hivi kiwanda kinapata sh ngapi?
Mpumbavu wewe.
Unaiona TCC kampuni ya sigara ilivyo na maisha mazuri?
Sigara ni sh 100/=
Unawaza kama nzi vile.

Go touch some grass
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…