Mangungu ajira yake ni Simba, ameshazeeka sana, hawezi kupata kazi serikalini tena.Bro logic yako is so distroted, zoez la kuvalisha pete ya uchumba kupiga goti si mandatory, matter of fact ni show off za mapenz toward mtoto wa kike. Knowing hata kupiga hilo goti hiyo pete ingevaliwa
Kwa huyo so called rais ni different thing, si mapenz mostly uchawa na heshima kwanbaadhi
Binafsi nisingepiga kama mzee wangu mangungu
mwanaume kukerwa na mtindo wa maisha ya wanaume wengine ni kitu useless sana gentleman 🐒Sijui kwa nini Hili jambo la baadhi ya wanaume kama vile Chalamila, Bashungwa na Mwigulu kumpigia magoti Samia limewakera hivi baadhi ya watu!
Mbona wanaume huwa wanawapigia magoti wanawake wakati wanawavalisha Pete za uchumba?
Kama unaweza kumpigia mwanamke ambaye huendi kupata chochote cha manufaa kutoka kwake kipi cha ajabu kumpigia magoti mtu anayeweza kukupa au kukufuta kazi inayokupatia mabilioni ya pesa!
View attachment 3668183View attachment 3668184View attachment 3668185
Yoda katika ubora😎Tufanye Wa kike
Nimekutumia pmPicha bro, tuwaone wanavyopiga magoti.....
Sijui kwa nini Hili jambo la baadhi ya wanaume kama vile Chalamila, Bashungwa na Mwigulu kumpigia magoti Samia limewakera hivi baadhi ya watu!
Mbona wanaume huwa wanawapigia magoti wanawake wakati wanawavalisha Pete za uchumba?
Kama unaweza kumpigia mwanamke ambaye huendi kupata chochote cha manufaa kutoka kwake kipi cha ajabu kumpigia magoti mtu anayeweza kukupa au kukufuta kazi inayokupatia mabilioni ya pesa!
View attachment 3668183View attachment 3668184View attachment 3668185
Bro logic yako is so distroted, zoez la kuvalisha pete ya uchumba kupiga goti si mandatory, matter of fact ni show off za mapenz toward mtoto wa kike. Knowing hata kupiga hilo goti hiyo pete ingevaliwa
Kwa huyo so called rais ni different thing, si mapenz mostly uchawa na heshima kwanbaadhi
Binafsi nisingepiga kama mzee wangu mangungu
Labda wakati namchagua chawa au tukiwa tunabwia ugoro wetu tena chumbani chini ya uangalizi wa makomeo.Upate mshangazi Corporate tajiri kweli kweli unakupa kila kitu hutapiga magoti??