Hakuna cha ajabu Samia kupigiwa magoti na wanaume.

Sir Wilsink ...
 
Mkoa wa Mara hatuwezi kumpigia magoti Mwanamke!
 

Attachments

  • 1000024076.jpg
    45.1 KB · Views: 8
Ni utamaduni unapomsalimia mtu aliyefiwa.
 
Huwezi kuwakuta viongozi wa Marekani wanampigia magoti TrumpπŸ˜„ halafu tunajiita ni Sovereign state
 
Aisee... ndio ishara ya kiwango cha juu cha unyenyekevu na kutoa pole kwa mfiwa.
 
mwanaume kukerwa na mtindo wa maisha ya wanaume wengine ni kitu useless sana gentleman πŸ’
Ukimaanisha sisi "washabiki" wa Tlaatlaah tukamkuta mtindo wake wa maisha ni kushika ukuta itakuwa kitu useless tukikerwa na maisha hayo? Acha hizo bana!
 
Ukimaanisha sisi "washabiki" wa Tlaatlaah tukamkuta mtindo wake wa maisha ni kushika ukuta itakuwa kitu useless tukikerwa na maisha hayo? Acha hizo bana!
mtuhumiwa wa uhaini ndio mtetezi mkuu wa hiyo chafu, nadhani ungeelekeza maoni yako kwake ingependeza zaidi gentleman πŸ’
 
πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Hapo wanaipigia Bendera ya Tanzania au?Mfiwa amekaa mwombelezaji kapiga goti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…