Hakuna cha ajabu Samia kupigiwa magoti na wanaume.

Huo ni usengerema tu
 
mtuhumiwa wa uhaini ndio mtetezi mkuu wa hiyo chafu, nadhani ungeelekeza maoni yako kwake ingependeza zaidi gentleman πŸ’
Umeelewa swali langu au unajitoa ufahamu kuficha hisia zako?
 

..Ni suala mmoja wao tu kujilipua na kulamba miguu ya Ssh.

..wengine wote watakaofuata wataiga na huo ndio utakuwa utaratibu mpya.
 
Huyo ndiye goddess wa akina Mwigulu na wenzake. Wataabudu hapo mpaka wachoke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…