Hakuna cha hujuma, Yanga wapo serious na wanamaanisha kazi kazi

Hakuna cha hujuma, Yanga wapo serious na wanamaanisha kazi kazi

Hilo ni kweli na mimi nimelisema hapa juzi juzi. Simba wanajua umuhimu wa kuishinda Yanga hasa kwa mashabiki wake ila hawaichukulii mechi hiyo kwa uzitooo sana kama zamani. Huu ndiyo ukweli. Mtazamo na malengo yao ni mengine kwa sasa. Yanga bado wanaikamia Simba halafu wanaenda kusumbuliwa na timu kama Polisi.
Mbumbu bana, unajua moja ya malengo ya kocha wenu aliyopewa ni kushinda ngao ya jamii, ligi kuu na fa? Au sasa hivi imeamua kurudi kinyume nyume hakawii baadaye kusema maleo yao ilikuwa ni kuijenga timu kwa ajili ya 2025
 
Back
Top Bottom