Mhaya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2023
- 1,831
- 5,489
Mi’ huwa nikisikiaga watu wanatwangana huko ulaya, Asia na kwingineko huwa nafurahi tu, acha watwangane tu na hata wamalizane, kwangu haina shida.
Kwa nini?
Wao wanatusababishia vita huku, wanachukua madini na vinginevyo na kusepa, so how come leo nikisikia watu wanatwangana nihuzunike? Je, wao wanahuzunika? Kama mtu hakuhuzunikii, wewe kwa nini unamuhuzunikia?
Watwangane tu kwangu poa, na hakuna cha pray for Israel, Iran, Ukraine wala Urusi, acha watwangane mpaka washikishane adabu.
Okay!
Vita vikaanza kwa Israel kama kawaida kuwapiga Wapalestina. Ila kwa kipindi hiki Wapalestina walianza kurusha makombora kwenda Israel, nikawa namuona jamaa mmoja anarekodi huku akishangilia, baada ya siku kadhaa, jamaa yuleyule aliyekuwa akishangilia akaanza kulia.
So vita vikaendelea, akapiga Lebanon, Syria na sehemu nyingine. Sasa baadaye Muiran akaibuka. Akasema na yeye anataka kuonyesha umwamba.
Iran huwa hataki hata masihara, haraka sana akatuma makombora, yakaenda kupiga Israel, majaa hawakujibu zaidi ya kusema wamepata meseji na wategemee iran watapokea majibu, halafu wakawa bize na Lebanon wao.
Hapa ngoja nikwambie kitu kimoja ambacho inawezekana hukijui. Israel huwa hapigani vita bila kufanya uchunguzi, huwa yupo hivyo.
Yaani Iran alivyomshambulia, sasa kazi yake ilikuwa ni kwenda kufanya uchunguzi kupitia MOSSAD, ajue silaha zinatengenezwa wapi, makombora yapo wapi, akishapata majibu, anakuja kupiga mahali hapo.
Sasa hapa pia kuna kitu.
Wanajeshi wa adui huwa wanajichanganya na wananchi, mfano hapo Tandale wanajenga kambi yao ardhini, kwa hiyo wakishajua Tandale kuna kambi ya adui, wanakuja kupiga kambi, na kinachotokea, raia wanakufa.
Pale Lebanon walikuwa wakitoa taarifa kwamba kesho tutapiga mahali fulani, wananchi ondokeni, waacheni waadui, na ndiyo maana Netanyahu alikuwa anasema kwamba maadui wapo kwa wananchi, sasa wananchi tunaomba muwatoe hao maadui ili tuwashambulie.
Okay!
Ngoma ikaendelea. Wiki chache nyuma Iran akapiga Israel. Baada ya kuhisi kwamba Israel atajibu mapigo, haraka sana wakawasiliana na Urusi na kumwambia tunahitaji msaada wa makombora kwa kuwa tunajiandaa kumfyatua Israel kama tu atajibu mapigo.
Sijui kama walipewa ama la!
Usiku wa kuamkia leo ama jana, Israel ameipiga Iran. Yaani mtu kakwambia ukijibu mapigo nitakumaliza, halafu kaenda kujibu kweli. Tunasubiri kumalizwa.
Sasa hapa watu wanahoji nini?
Iran alisema kwamba hawezi kushambuliwa kwa kuwa ana ulinzi mzito, sasa inakuwaje ndege za Israel zikaingia Iran kupitia Yemen, zikafika hapo, zikashambulia na kisha kuondoka salama? Je, ni kweli ina ulinzi ambao unawaaminisha watu ama matango pori?
Adui anaingiaje chumbani kwako, anakudunda halafu anasepa salama?
Narudia tena na tena....ACHA WATWANGANE MPAKA WACHOKE.
Waafrika tumechoka, kila siku vita kwetu tu....acha nao wapunguzane.
Hapo namuona Bill Gates anavyofurahia tu, anaona mpango wake wa kupunguza watu duniani unakwenda freshi kabisa.
Taarifa nyingine!
Kambi ya Marekani pale Korea Kusini nayo imekula kichapo heavy sana siku ya jana. Nani kahusika? Wenyewe ama Korea Kaskazini?
Ukiachana na hiyo, naye Uturuki anaonyesha mabavu yake kwa kumpa kichapo Iraq na Syria.
Ila jamani Syria kama mmemuwekea ukawa sana, yaani kila mtu anamfanya yeye ndiye pombe ya ngomani kwamba kila mtu anakunywa. Inasikitisha sana.
Washikaji sijui ni wapole sana...sijui waoga, sijui hawajiwezi. Yaani watu wakitaka kuonyesha umwamba wao, basi wanamfuata na kumpa chape.