Na milichokisahau tu ni kwamba kiuchawi na kwa dua hamuwaweza waarabu hivyo mnapoteza mno muda wenu
Pia labda niwasaidieni tu kwa kuwaambia kuwa kama ni kufanya michezo michafu (ya nje ya uwanja) hao waarabu ndiyo walimu hivyo hamtowaweza
Na msisahau kuwa hata mliowafunga kwa mtindo wa tigo pesa (5/11/2023) nao wana ushirikiano wa kirafiki na hawa waarabu hivyo watawaambia mengi juu yenu hovyo na wao kujua watawakwepa vipi
Nisalimieni sana mganga wenu wa mlandege (atakayesaidiana na yule dada wa tegeta mwenye ziwa moja na wa kundi ambaye pia ni mjomba wake kiongozi wa wanachama wa klabu inayoteseka na kipigo kitakatifu cha tarehe 5 novemba, 2023 ) ambaye atawapeni jini kali la kupambana na majini wengi wa waarabu na ambaye pia atampa mchezaji wenu bakabaka hirizi ya kuibeba kwakuwa kinyota siku hiyo yake iko vyema na kuweza kuisaidia timu