Hakuna cha solidarity kwenye masuala ya Simba na Yanga

Hakuna cha solidarity kwenye masuala ya Simba na Yanga

Mjinga ni wewe usiyekubaliana na mawazo ya Wengine. Baki na ushabiki wako na hayo mawazo na maoni yako hayawezi kubadili Chochote
Uzuri ukikaa chini ukatulia uhalisia unaujua kwa ground, hayo mengine umejiskia tu kuongea and so feel free to exercise your freedom of expression.
 
Uzuri ukikaa chini ukatulia uhalisia unaujua kwa ground, hayo mengine umejiskia tu kuongea and so feel free to exercise your freedom of expression.
Huwezi ukapendezwa na kila kitu📌
 
kwan nyakti zote simba anaingia makundi na robo fainal marakadhaa nyakati hzi yanga hata pua hakupenyeza kilichokuwa kinatokea ni mashabiki wayanga walijitahidi kupokea wageni, jezi zao kuvaa.

Kushangilia na hata kutoa siri za simba kwa mpinzani kupitia haya wamekuja na ajenda ya kuwa kuweka solidarity kwa sababu yanyuma kwa kuyachukulia ukubwa tutaharibu yao watulie wawe wapole na ikumbukwe ukifanya baya majibu yake ni hapa hapa yanga wakubali tu walichokifanya sio chema na kutafuta namna ya kujisafisha wasikandamize watu
 
Solidarity hiyo wnayoitaka waanzie kwenye Mali zote za Nchi hii.... Wote tule sawa....
 
Sasa nani anataka usolidarity na wewe...tukifungwa na nyie tutahakikisha mnafungwa...
Haya waiteni tena ma sheikh wenu wa zanzibar waje waroge na kesho tufungwe, mazuzu mshatapeliwa na ma sheikh feki wa zenjibar, poleni sana madunduka
 
Leo sisalimii mtu.

Naona kuna kampeni ya kihuni imeanzishwa kwamba as a country kuna solidarity when it comes to supporting Simba na Yanga kwenye CAFCL. Huu ni uhuni. Hakuna solidarity.

Sisi Yanga hatuwaombei mema Simba na hao simba hawatuombei mema Yanga.

HAKUNA CHA SOLIDARITY, DUA ZETU ZOTE TUNAOMBA SIMBA AFUNGWE KESHO. MTUTOLEE UPUMBAVU HUKO.

Mathalani, in England Arsenal anacheza na bayern quarter final ila hakuna shabiki wa Chelsea wa England anayoiombea mema Arsenal. Rivarly ipo pale pale. Mtutolee ujinga hapa.
Siasa mbaya sana
 
Haya waiteni tena ma sheikh wenu wa zanzibar waje waroge na kesho tufungwe, mazuzu mshatapeliwa na ma sheikh feki wa zenjibar, poleni sana madunduka
Kwamba nyie sio wanga? Hahahaha nyie tena..majini yenu leo myaombee japo ni majini...
 
Back
Top Bottom