The Boss hata kama mahaba kwa upinzani au chuki binafsi na Magu na CCM sio kwa kutolea mfano nchi ambayo ishakuwa fallen.Wewe sio Muiraq
Wao ndo wanajua kipi nafuu..
Maisha chini ya Baath na Saddam
Au sasa..unao tafiti unaosema wanajuta?
Unaweza onesha?
Kabla ya mitandao watu walikua wanaandamana?Bila ya Wamarekani kuivamia Iraq na kuipindua serikali ya Saddam Hussein, yawezekana chama cha Ba’ath huenda bado kingekuwa madarakani mpaka leo hii.
Kwa Tanzania, labda nasi tuvamiwe na Wamarekani halafu waitoe CCM madarakani na baadaye ipigwe marufuku kabisa.
Lakini hatujafika huko bado. Na mazingira ni tofauti sana.
Hata ujasiri wa kuwa na Orange Revolution kama ile ya Ukraine mwaka 2004 - 2005 au ile Arab Spring, hatuna.
Wa Ukraine waliingia barabarani baada ya uchaguzi wa run-off kutokuwa wa huru na haki.
Waliandamana kwa miezi miwili bila kuchoka mpaka kikaeleweka.
Sisi ujasiri wetu upo kwenye mitandao tu.
Nazi. Sijui kama nimetaja vizuri. Hao jamaa waliua vibaya sana.
Kiufupi.
HAKUNA JAMBO JIPYA DUNIANI.
"Wasiosoma ni chakula cha wasomi, wasomi Ni chakula cha wanasiasa, wanasiasa Ni chakula cha wafanyabiashara".
Umenikumbusha siasa za Iraq.. hakuna anaeweza kuushinda muda.
Bro ona aibu ata kidogo Iraq hii hii iliyogeuka magofu na vita ya wenyewekwa wenyewe, unaisifu ina demokrasia na inachagua wabunge wanaotakiwa.
Bro iyo Iraq ya sasa ina demokrasia sawa sikatai lakini je hali ya usalama kabla ya demokrasia na baada ya demokrasia ipoje?mleta mada alinganisha Iraq ya Saddam na Iraq ya leo,na yupo sahihi,fuatilia Historia ya Iraq uone,leo wana Democrasia ukilinganisha na kipindi cha saddam,wakati wa Saddam kilitawala chama chake kama hivi sasa Magufuli na wapinzani walitekwa na wengine hawakuwahi kufahamika walienda wapi,watu waliuliwa sana .hivi sasa kuna wabunge wa upinzani Iraq lakini wakati wa Saddam sidhani kama kulikuwa na hao wabunge wa upinzani na hata kama walikuwepo basi ni wawili watatu.Saddam alikuwa Dictator hawa unaonawaona sasa hivi kina Jiwe ni wachumba tu
Na wafantabiashara je?Nazi. Sijui kama nimetaja vizuri. Hao jamaa waliua vibaya sana.
Kiufupi.
HAKUNA JAMBO JIPYA DUNIANI.
"Wasiosoma ni chakula cha wasomi, wasomi Ni chakula cha wanasiasa, wanasiasa Ni chakula cha wafanyabiashara".
Bro iyo Iraq ya sasa ina demokrasia sawa sikatai lakini je hali ya usalama kabla ya demokrasia na baada ya demokrasia ipoje?
Na waganga je?Wasiosoma Ni Chakula cha Wasomi, Wasomi ni Chakula cha Wanasiasa, Wanasiasa ni Chakula cha Waganga wa Jadi(Washirikina)
Hapa ndipo ninapopataka mkuu na kipo cha kujifunza hapa. Nchi yetu ni ya ki demokrasia na hata mimi pia ni muumini wa nchi kuendeshwa ki demokrasia, wasiwasi wangu ni kutaka kuichafua nchi kwa vurugu na maandamano kwa kigezo cha demokrasia demokrasia hii naipinga.Hali ya usalama kabla ya Democracy yani miaka ya 60 huko mpaka 70 haikuwa salama ki vile kwa sababu kulikuwa na mapinduzi mengi sana hiyo nchi ina Historia ya Mapinduzi hata Saddam aliingia madarakani kwa mapinduzi alimpindua mjomba wake na kabla ya hapo saddam akiwa na miaka 20 alihukumiwa kifo kwa kosa la kupanga mapinduzi.
Wakati wa saddam hali ya usalama ilikuwa shwari lakini baada yake hali ya usalama imekuwa mbya zaidi kuwahi kutokea katika nchi hiyo mkuu,nchi imeshuhudia mamilioni ya vifo vya watu kipindi hiki cha democrasia kwanza katika kipindi cha uvamizi wa marekani na baada ya hapo pia miji mingi imeharibiwa na kwa kifupi hali ya usalama ni mbaya,kipindi hiki pia ndipo Islamic state wamerise kutokea huko Iraq
Hapa ndipo ninapopataka mkuu na kipo cha kujifunza hapa. Nchi yetu ni ya ki demokrasia na hata mimi pia ni muumini wa nchi kuendeshwa ki demokrasia, wasiwasi wangu ni kutaka kuichafua nchi kwa vurugu na maandamano kwa kigezo cha demokrasia demokrasia hii naipinga. Leo hii tunaona kuna uvamizi wa waasi wenye msimamo mkali toka Msumbiji tunavyoanza kuandamana na kuparuana kwa kigezo cha demokrasia ndio tunawapa mwanya wale magaidi wenye Silaha washike Hatamu kama ilivyokuwa Iraq ya demokrasia na kuibuka kwa Islamic state, hii nchi ni yetu sisi Watanzania matatizo yetu tutayamaliza wenyewe na sio kuwaperekea Mabeberu watutatulie matatizo yetu tunajidanganya.
Hii ni kasumba ya himaya nyingi Duniani kutaka kusalia madarakani sio kwa Magu tu hata mwenyekiti wetu wa chama cha demokrasia na maendeleo hataki kabisa demokrasia ya kukabidhi uenyekiti kwa mtu mwingine.upo sahihi kabisa sipingani na wewe mkuu lakini kwa ninayoona kina mambosasa ndio wanatuvurugia nchi pamoja na jiwe. mkuu jiulize kama jiwe asingefanya ukandamizaji wake wa Demokrasia kiasi hiki wapinzani wangegoma ? hivi kweli zitto ni wa kushindwa uchaguzi kigoma !!! mi nadhani jiwe angeiba kura za urais tu haya yasingetokea ila yeye mara aibe kura zote mara ateke wapinzani
kama amani itatoweka nchi hii lawama ziende kwa jiwe na genge lake,mimi sio mpinzani ila sikubaliani na jiwe
Hii ni kasumba ya himaya nyingi Duniani kutaka kusalia madarakani sio kwa Magu tu hata mwenyekiti wetu wa chama cha demokrasia na maendeleo hataki kabisa demokrasia ya kukabidhi uenyekiti kwa mtu mwingine. Haohao wapinzani ndio wasaliti wakubwa wa nchi na wanashirikiana kikamilifu na Mabeberu pasipo hata na chembe ya shaka kuihujumu nchi,kwa ustawi wa himaya na Tanzania kwa ujumla unataka Serikali iwafanye nini? Huko Ulaya kwenyewe ndio kuna sheria kali za wasaliti wa nchi kuliko hata hapa Bongo.
Tatizo upinzani wa kitanzania haujakomaa bado kuongoza nchi na wala Hawajui nchi inaendeshwa kwa misingi ipi kuitoa CCM madarakani kwa upinzani huu tulionao sasa ivi Tanzania haitotamalaki tena katika utukufu wake kama ilivyo Libya,Congo,Iraq nk. Tuendelee kuwa na imani na Serikali inayotuongoza binafsi bado CCM nina imani nayo ina mtaji mkubwa wa viongozi ambao wanaweza kukidhi mahitajio ya Watanzania.ni kweli mkuu,lakini kama haya maandamano yakifanyika kweli na ukijumlisha na attacks za wavaa vizibao kule kusini basi utakuwa ni mwisho wa jiwe na chama chake.nina muda mrefu sikuwa onl ila week moja iliyopita kulikua na tetesi kwamba kuna kambi ilivamiwa
Lini ilikuwa kabla ya mitandao? Mwaka gani?Kabla ya mitandao watu walikua wanaandamana?
Wa kibongo wengi chakula cha waganga wa kienyeji.Na wafantabiashara je?
Sidhani kama unaweza kukiri, ila umetumia mfano mbovu na ndo maana pushback ya watu imekuwa jinsi ilivyo.Ukisoma vizuri my point sio kuwa tungojee USA waje waitoe CCM
My point ni kuwa during its dark days..
Hakuna aliehisi kuna siku wataondoka
Iwe by protests au by force kutoka nje
That's my point..