Hakuna chama kilichotamba duniani kama Baath Party

Hakuna chama kilichotamba duniani kama Baath Party

Bila ya Wamarekani kuivamia Iraq na kuipindua serikali ya Saddam Hussein, yawezekana chama cha Ba’ath huenda bado kingekuwa madarakani mpaka leo hii.

Kwa Tanzania, labda nasi tuvamiwe na Wamarekani halafu waitoe CCM madarakani na baadaye ipigwe marufuku kabisa.

Lakini hatujafika huko bado. Na mazingira ni tofauti sana.

Hata ujasiri wa kuwa na Orange Revolution kama ile ya Ukraine mwaka 2004 - 2005 au ile Arab Spring, hatuna.

Wa Ukraine waliingia barabarani baada ya uchaguzi wa run-off kutokuwa wa huru na haki.

Waliandamana kwa miezi miwili bila kuchoka mpaka kikaeleweka.

Sisi ujasiri wetu upo kwenye mitandao tu.
Kabla ya mitandao watu walikua wanaandamana?
 
bora Saddam kuliko jiwe japo wana share similarities kwa mfano Saddam aliulizwa na dr wake kwanini hawahadhibu viongozi wanaouwa watu na kuiba pesa za uma, Saddam akajibu “unapokuwa na ki mbwa kidogo unakipiga mateke na kukifanya utakavyo lakini kikishakuwa mbwa mkubwa unaogopa kumpiga”
 
Nazi. Sijui kama nimetaja vizuri. Hao jamaa waliua vibaya sana.

Kiufupi.

HAKUNA JAMBO JIPYA DUNIANI.

"Wasiosoma ni chakula cha wasomi, wasomi Ni chakula cha wanasiasa, wanasiasa Ni chakula cha wafanyabiashara".

Hitler alisema “ni fahari ilioje kwa viongozi kwamba wananchi hawana uwezo wa kufikiria”
 
Umenikumbusha siasa za Iraq.. hakuna anaeweza kuushinda muda.

Muda bana ni kitu cha ajabu sana, eti Saddam Hussein mtu aliyekua anachukua ki karatasi anandika zitolewe usd billion 1 central bank leo hayupo, alikuwa mgumu kiasi kwamba anaambiwa watoto wako wameuwawa anajibu “walipambana ?” anaambiwa ndio anajibu “vizuri,wamekufa kishujaa” afu hata halii wala kusikitika.
 
Bro ona aibu ata kidogo Iraq hii hii iliyogeuka magofu na vita ya wenyewekwa wenyewe, unaisifu ina demokrasia na inachagua wabunge wanaotakiwa.

Mleta mada alinganisha Iraq ya Saddam na Iraq ya leo,na yupo sahihi,fuatilia Historia ya Iraq uone,leo wana Democrasia ukilinganisha na kipindi cha saddam,wakati wa Saddam kilitawala chama chake kama hivi sasa Magufuli na wapinzani walitekwa na wengine hawakuwahi kufahamika walienda wapi,watu waliuliwa sana. Hivi sasa kuna wabunge wa upinzani Iraq lakini wakati wa Saddam sidhani kama kulikuwa na hao wabunge wa upinzani na hata kama walikuwepo basi ni wawili watatu. Saddam alikuwa Dictator hawa unaonawaona sasa hivi kina Jiwe ni wachumba tu
 
mleta mada alinganisha Iraq ya Saddam na Iraq ya leo,na yupo sahihi,fuatilia Historia ya Iraq uone,leo wana Democrasia ukilinganisha na kipindi cha saddam,wakati wa Saddam kilitawala chama chake kama hivi sasa Magufuli na wapinzani walitekwa na wengine hawakuwahi kufahamika walienda wapi,watu waliuliwa sana .hivi sasa kuna wabunge wa upinzani Iraq lakini wakati wa Saddam sidhani kama kulikuwa na hao wabunge wa upinzani na hata kama walikuwepo basi ni wawili watatu.Saddam alikuwa Dictator hawa unaonawaona sasa hivi kina Jiwe ni wachumba tu
Bro iyo Iraq ya sasa ina demokrasia sawa sikatai lakini je hali ya usalama kabla ya demokrasia na baada ya demokrasia ipoje?
 
Nazi. Sijui kama nimetaja vizuri. Hao jamaa waliua vibaya sana.

Kiufupi.

HAKUNA JAMBO JIPYA DUNIANI.

"Wasiosoma ni chakula cha wasomi, wasomi Ni chakula cha wanasiasa, wanasiasa Ni chakula cha wafanyabiashara".
Na wafantabiashara je?
 
Bro iyo Iraq ya sasa ina demokrasia sawa sikatai lakini je hali ya usalama kabla ya demokrasia na baada ya demokrasia ipoje?

Hali ya usalama kabla ya Democracy yani miaka ya 60 huko mpaka 70 haikuwa salama ki vile kwa sababu kulikuwa na mapinduzi mengi sana hiyo nchi ina Historia ya Mapinduzi hata Saddam aliingia madarakani kwa mapinduzi alimpindua mjomba wake na kabla ya hapo saddam akiwa na miaka 20 alihukumiwa kifo kwa kosa la kupanga mapinduzi.

Wakati wa saddam hali ya usalama ilikuwa shwari lakini baada yake hali ya usalama imekuwa mbya zaidi kuwahi kutokea katika nchi hiyo mkuu,nchi imeshuhudia mamilioni ya vifo vya watu kipindi hiki cha democrasia kwanza katika kipindi cha uvamizi wa marekani na baada ya hapo pia miji mingi imeharibiwa na kwa kifupi hali ya usalama ni mbaya,kipindi hiki pia ndipo Islamic state wamerise kutokea huko Iraq
 
Hali ya usalama kabla ya Democracy yani miaka ya 60 huko mpaka 70 haikuwa salama ki vile kwa sababu kulikuwa na mapinduzi mengi sana hiyo nchi ina Historia ya Mapinduzi hata Saddam aliingia madarakani kwa mapinduzi alimpindua mjomba wake na kabla ya hapo saddam akiwa na miaka 20 alihukumiwa kifo kwa kosa la kupanga mapinduzi.

Wakati wa saddam hali ya usalama ilikuwa shwari lakini baada yake hali ya usalama imekuwa mbya zaidi kuwahi kutokea katika nchi hiyo mkuu,nchi imeshuhudia mamilioni ya vifo vya watu kipindi hiki cha democrasia kwanza katika kipindi cha uvamizi wa marekani na baada ya hapo pia miji mingi imeharibiwa na kwa kifupi hali ya usalama ni mbaya,kipindi hiki pia ndipo Islamic state wamerise kutokea huko Iraq
Hapa ndipo ninapopataka mkuu na kipo cha kujifunza hapa. Nchi yetu ni ya ki demokrasia na hata mimi pia ni muumini wa nchi kuendeshwa ki demokrasia, wasiwasi wangu ni kutaka kuichafua nchi kwa vurugu na maandamano kwa kigezo cha demokrasia demokrasia hii naipinga.

Leo hii tunaona kuna uvamizi wa waasi wenye msimamo mkali toka Msumbiji tunavyoanza kuandamana na kuparuana kwa kigezo cha demokrasia ndio tunawapa mwanya wale magaidi wenye Silaha washike Hatamu kama ilivyokuwa Iraq ya demokrasia na kuibuka kwa Islamic state, hii nchi ni yetu sisi Watanzania matatizo yetu tutayamaliza wenyewe na sio kuwaperekea Mabeberu watutatulie matatizo yetu tunajidanganya.
 
Hapa ndipo ninapopataka mkuu na kipo cha kujifunza hapa. Nchi yetu ni ya ki demokrasia na hata mimi pia ni muumini wa nchi kuendeshwa ki demokrasia, wasiwasi wangu ni kutaka kuichafua nchi kwa vurugu na maandamano kwa kigezo cha demokrasia demokrasia hii naipinga. Leo hii tunaona kuna uvamizi wa waasi wenye msimamo mkali toka Msumbiji tunavyoanza kuandamana na kuparuana kwa kigezo cha demokrasia ndio tunawapa mwanya wale magaidi wenye Silaha washike Hatamu kama ilivyokuwa Iraq ya demokrasia na kuibuka kwa Islamic state, hii nchi ni yetu sisi Watanzania matatizo yetu tutayamaliza wenyewe na sio kuwaperekea Mabeberu watutatulie matatizo yetu tunajidanganya.

Upo sahihi kabisa sipingani na wewe mkuu lakini kwa ninayoona kina mambosasa ndio wanatuvurugia nchi pamoja na jiwe. mkuu jiulize kama jiwe asingefanya ukandamizaji wake wa Demokrasia kiasi hiki wapinzani wangegoma? Hivi kweli zitto ni wa kushindwa uchaguzi kigoma !!! mi nadhani jiwe angeiba kura za urais tu haya yasingetokea ila yeye mara aibe kura zote mara ateke wapinzani
kama amani itatoweka nchi hii lawama ziende kwa jiwe na genge lake,mimi sio mpinzani ila sikubaliani na jiwe.
 
upo sahihi kabisa sipingani na wewe mkuu lakini kwa ninayoona kina mambosasa ndio wanatuvurugia nchi pamoja na jiwe. mkuu jiulize kama jiwe asingefanya ukandamizaji wake wa Demokrasia kiasi hiki wapinzani wangegoma ? hivi kweli zitto ni wa kushindwa uchaguzi kigoma !!! mi nadhani jiwe angeiba kura za urais tu haya yasingetokea ila yeye mara aibe kura zote mara ateke wapinzani
kama amani itatoweka nchi hii lawama ziende kwa jiwe na genge lake,mimi sio mpinzani ila sikubaliani na jiwe
Hii ni kasumba ya himaya nyingi Duniani kutaka kusalia madarakani sio kwa Magu tu hata mwenyekiti wetu wa chama cha demokrasia na maendeleo hataki kabisa demokrasia ya kukabidhi uenyekiti kwa mtu mwingine.

Haohao wapinzani ndio wasaliti wakubwa wa nchi na wanashirikiana kikamilifu na Mabeberu pasipo hata na chembe ya shaka kuihujumu nchi, kwa ustawi wa himaya na Tanzania kwa ujumla unataka Serikali iwafanye nini? Huko Ulaya kwenyewe ndio kuna sheria kali za wasaliti wa nchi kuliko hata hapa Bongo.
 
Hii ni kasumba ya himaya nyingi Duniani kutaka kusalia madarakani sio kwa Magu tu hata mwenyekiti wetu wa chama cha demokrasia na maendeleo hataki kabisa demokrasia ya kukabidhi uenyekiti kwa mtu mwingine. Haohao wapinzani ndio wasaliti wakubwa wa nchi na wanashirikiana kikamilifu na Mabeberu pasipo hata na chembe ya shaka kuihujumu nchi,kwa ustawi wa himaya na Tanzania kwa ujumla unataka Serikali iwafanye nini? Huko Ulaya kwenyewe ndio kuna sheria kali za wasaliti wa nchi kuliko hata hapa Bongo.

Ni kweli mkuu, lakini kama haya maandamano yakifanyika kweli na ukijumlisha na attacks za wavaa vizibao kule kusini basi utakuwa ni mwisho wa jiwe na chama chake. Nina muda mrefu sikuwa onl ila week moja iliyopita kulikua na tetesi kwamba kuna kambi ilivamiwa.
 
ni kweli mkuu,lakini kama haya maandamano yakifanyika kweli na ukijumlisha na attacks za wavaa vizibao kule kusini basi utakuwa ni mwisho wa jiwe na chama chake.nina muda mrefu sikuwa onl ila week moja iliyopita kulikua na tetesi kwamba kuna kambi ilivamiwa
Tatizo upinzani wa kitanzania haujakomaa bado kuongoza nchi na wala Hawajui nchi inaendeshwa kwa misingi ipi kuitoa CCM madarakani kwa upinzani huu tulionao sasa ivi Tanzania haitotamalaki tena katika utukufu wake kama ilivyo Libya,Congo,Iraq nk. Tuendelee kuwa na imani na Serikali inayotuongoza binafsi bado CCM nina imani nayo ina mtaji mkubwa wa viongozi ambao wanaweza kukidhi mahitajio ya Watanzania.
 
Kumbuka Tanzania ni nchi pekee iliyojitoa muhanga kusaidia nchi zingine za africa kupata uhuru. Iraq waliangushwa na wazungu kupitia vibaraka kama alivyokuja Lisu na kina mbowe. Pia Gadaffi aliangushwa na wazungu kupitia vibaraka. Ivory cost rais wa kipindi kile Laurent Gbagbo aliondolewa baada ya wazungu kutumia kibaraka wao Alassane Ouattara ambaye hata hivyo amekataa kuachia madaraka (yaani alimpinga rais Gbagbo kuongeza muda akasaidiwa na wazungu ili yeye awe rais na aheshimu katiba, na yeye kakataa kuondoka madarakani kama mwenzake na kuna maandamano).

Kwa mantiki hiyo Tanzania tuna uzoefu mkubwa sana wa kushughulika na vibaraka kama wewe na kina Lisu (rejea kabulu wa afrika kusini aliyekuwa anaungwa mkono na UK, US na Umoja wa ulaya alivyojaribu kila namna alishindwa sembuse hao wabelgiji). Kwanza tumewakata kwenye sanduku la kura, tuliwaachia watambe ili tujue siri zao zote ili tuukate huo mzizi wa fitina na kazi imefanyika sasa tunamalizia kutoa kile kisiki ambacho mizizi yake ilishakatwa yote. Hii ni Tanzania hatuchezewi, tuliwaambia kipindi kila mtakoma labda mkimbie nchi, hii ni Tanzania mpya hatutaki wanafiki. Kikubwa bwageni manyanga mkubali uwa wazalendo, Lisu aombe msamaha kwa watanzania na kikundi chake chote waombe msamaha na wawakane kabisa wazungu.
 
Ukisoma vizuri my point sio kuwa tungojee USA waje waitoe CCM
My point ni kuwa during its dark days..
Hakuna aliehisi kuna siku wataondoka
Iwe by protests au by force kutoka nje
That's my point..
Sidhani kama unaweza kukiri, ila umetumia mfano mbovu na ndo maana pushback ya watu imekuwa jinsi ilivyo.

Chama cha Ba’ath na mambo yaliyopelekea kudondoka kwake ni tofauti sana na mazingira yetu hapa Tanzania na CCM.
 
Back
Top Bottom