mleta mada alinganisha Iraq ya Saddam na Iraq ya leo,na yupo sahihi,fuatilia Historia ya Iraq uone,leo wana Democrasia ukilinganisha na kipindi cha saddam,wakati wa Saddam kilitawala chama chake kama hivi sasa Magufuli na wapinzani walitekwa na wengine hawakuwahi kufahamika walienda wapi,watu waliuliwa sana .hivi sasa kuna wabunge wa upinzani Iraq lakini wakati wa Saddam sidhani kama kulikuwa na hao wabunge wa upinzani na hata kama walikuwepo basi ni wawili watatu.Saddam alikuwa Dictator hawa unaonawaona sasa hivi kina Jiwe ni wachumba tu