Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
sio derby mkuu, madrid vs barca inaitwa el Clasico. Madrid vs Atletico ndio inaitwa derby.
Jibu swali acha kupayukaaliekwambia real Madrid vs Barcelona ni derby nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sio derby mkuu, madrid vs barca inaitwa el Clasico. Madrid vs Atletico ndio inaitwa derby.
Jibu swali acha kupayukaaliekwambia real Madrid vs Barcelona ni derby nani?
Akili yangu ina shida,niambie derby inaangalia nini?Wew akili zako zina shida,
Nani kasema derby inaangalia history na mafanikio?
Fc Porto mji wa Porto vs Benfica mji wa Lisbon, Dortmund B vs B Munich hizi ni nini? Hizo zote ziko miji tofauti tofauti na zimeorodheshwa ni moja kati ya derby kubwa ulaya
Mnaokurupuka ni nyie mnaosema derby ni mpaka wote mtoke jiji moja. Sasa hivi ndio mnashtuka baada ya kuwaletea ushahidi kuna derby za wapinzani kutoka majiji tofauti.mkuu, kuna derby za miji, kuna derby za mikoa, kuna derby za mitaa. Kwahiyo unatakiwa upeleleze makini usikurupuke.
Kama sio derby ni nini? Na hiyo ya Porto na Benfica?Bayern Vs Dortmund sio Derby
Nataka niseme uko sahihi lakini najiuliza je KMC na Simba Kwa muktadha wako zinaweza nazo zikawa Derby??Derby ni mechi kati ya timu za mji mmoja.
Kuna London derby halafu kuna north London derby
London derby= arsenal VS chelsea
North London derby= arsenal VS Tottenham
Azam na simba ni Dar es Salaam derby
Simba vs Yanga ni Kariakoo derby
Kama ile timu ya African Lyon ingekuwa bado ipo ndio ingekuwa Mbagala derby kati ya Azam na African Lyon
Mnaokurupuka ni nyie mnaosema derby ni mpaka wote mtoke jiji moja. Sasa hivi ndio mnashtuka baada ya kuwaletea ushahidi kuna derby za wapinzani kutoka majiji tofauti.
Sawa,Sunderland Wana mji wao tofauti na manchester
Derby ya London niSawa,
Vp kuhusu nilicho maanisha hakina maana km vile London derby kati ya Chelsea na Arsenal?
Ujuaji mwingi utachapwa MashineLondon Derby Chelsea Vs Arsenal
North London Derby Totenham vs Arsenal
Mersey Side Derby Everton Vs Liverpool
Manchester Derby Man City vs Nyumbu Utd
West Ham, Fulham, Nottingham Forest, Crystal Palace, Brentford hizi zote ziko London lakini husikii zinaitwa Derby baina ya Chelsea, Arsenal au Totenham.
Yanga na Simba ni timu za Kariakoo, Azam ni timu ya Mbagala-Chamazi.Sijui kwanini Azam media wanalazimisha timu yao ya Azam kwamba ni derby dhidhi ya wakongwe wa Kariakoo?
Kwanza ni timu ya juzi hakuna derby kati ya baba na mtoto,
Mafanikio ya mataji haiwezi kufika hata robo ya Simba na Yanga
Kwa mashabiki hata robo ya hizo timu Azam haifiki.
Sasa wanavyosema azam ni derby kwa Simba na Yanga ni derby kwenye nini hasa hawana umri sawa kuanzishwa,hawana mashabiki, wana kikombe kimoja tu cha ligi.
Kama wanaangalia timu ambazo zote zipo Dar basi Azam anafaa kuwa derby na KMC maana hata umri wanaendana kwa mbali.
Azam kuwa derby kwa Simba na Yanga ni kuzishusha hadhi Simba na Yanga.
Sent using Jamii Forums mobile app
DOgo tuliza kalio. Wenzako wanakuja kistaarabu wanapewa maelezo wanapita kushoto. Naona wewe unakuja na miwasho ya tako nitaishia kukupaka upupu tu.Ujuaji mwingi utachapwa Mashine
Kafuatilie Derby zingine za London Sasa uwe unaacha kiherehere View attachment 2899302
Umeweka vzr sana ..kwangu mimi nimeelewaDerby ni mechi kati ya timu za mji mmoja.
Kuna London derby halafu kuna north London derby
London derby= arsenal VS chelsea
North London derby= arsenal VS Tottenham
Azam na simba ni Dar es Salaam derby
Simba vs Yanga ni Kariakoo derby
Kama ile timu ya African Lyon ingekuwa bado ipo ndio ingekuwa Mbagala derby kati ya Azam na African Lyon
Wanaishi mtaa mmoja?Derby ya London ni
Arsenal na Tottenham Hotspur