Hakuna ex wangu mwenye ndoa imara

Hakuna ex wangu mwenye ndoa imara

Siku zote Mungu huwa anakupa wa kufanana nawe kitabia.
Ukiona hivyo ujue hata wewe sio Mume material.

Mimi mademu wangu karibu wote wa zamani wameolewa tena kwa Ndoa takatifu na mimi pia nimeoa.
 
Back
Top Bottom