Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,891
- 20,145
Ooh haya wapemba na mawazo yenu hayoHakuna cha mizimu hizo ni akili za kufirika tu
Ooh haya wapemba na mawazo yenu hayoHakuna cha mizimu hizo ni akili za kufirika tu
Wewe binafsi mfu ana msaada gani kwakoOoh haya wapemba na mawazo yenu hayo
Napiga nae stori za huko alipoWewe binafsi mfu ana msaada gani kwako
Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI)Hapa Tanzania tunawajali hata waliokuwa hai. Tuna Mfugale Interchange, Jakaya Kikwete Heart Institute (JKHI) nk.
Mimi sikatai kupewa ila alipewa kwa wakati sahihi? Yeye mwenyewe alishuhudia? Au alipewa baada ya kufa wakati kulikua na uwezekano wa kupewa mapemaHata mimi nilikuwa simfahamu bibi titi lakini nilipohoji kwanini barabara hii imepewa jina lake ndipo nilipopatiwa historia yake.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app