Hakuna faida ya kuwa na marafiki

Lakini angalia usijekumbwa na tatizo la msongo
 
Dah mimi ninao wanne tu! kati yao yupo ndugu wa tumbo moja....watu waliobakia ni kusalimiana, hamna cha zaidi.
Haahah kwamaana hiyo unamarafiki watatu??? Duuuh
 
Stunter eeh ! ! Leo umenikosha zaidi kwa hili la marafiki. Ingawa hata huyo rafiki yako mwenye biashara unaweza kumtafutia wateja, siku ukiwa na shida akakuambia; " duu, ndiyo nimetoka kulipia deni na kodi hivi pund tu!!! Hayo ndiyo maisha.
 
Binadamu huwa tunabadilika, kwahiyo unapotoa, toa bila kukumbuka
 
Smart people wana small circle (marafiki wachache) kwasababu huangalia kama huyu Rafiki yangu ni 1. Asset au 2. Liability.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…