Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini angalia usijekumbwa na tatizo la msongoisee uko kama mimi,me marafiki wa kipuuzi puuzi sina,ushenzi wa kuwa na marafiki muda wote wanaongea pumba na kulia njaa me sitakagi kabisa,weekend nikichoka naenda zangu kula mtungi narudi home kimya kimya ile mambo ya kufatana fatana kama ruba ni kuambukizana upuuzi tu
HaswaaaView attachment 400758Marafiki weng ni hatari sana hata M.Mungu katuonya katika maandiko yake Matakatifu!!!..
Binadamu huwa tunabadilika, kwahiyo unapotoa, toa bila kukumbukaStunter eeh ! ! Leo umenikosha zaidi kwa hili la marafiki. Ingawa hata huyo rafiki yako mwenye biashara unaweza kumtafutia wateja, siku ukiwa na shida akakuambia; " duu, ndiyo nimetoka kulipia deni na kodi hivi pund tu!!! Hayo ndiyo maisha.
Jina lako lenyewe linadhibitishaDah....mimi nipo wazi kabisa kama ni mvivu halafu hata wazo lolote la kutoka kimaisha huna....nakupigachini... Labda uwe dem[emoji4]