gambada ynwa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 390
- 371
Mkuu ungeweka kabisa na ule wimbo wa FID Q- SIHITAJI MARAFIKI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
isee uko kama mimi,me marafiki wa kipuuzi puuzi sina,ushenzi wa kuwa na marafiki muda wote wanaongea pumba na kulia njaa me sitakagi kabisa,weekend nikichoka naenda zangu kula mtungi narudi home kimya kimya ile mambo ya kufatana fatana kama ruba ni kuambukizana upuuzi tuZamani nilikuwa nawashangaa Watu ambao wana
Marafiki Wachache (SMALL CIRCLE), nikawa najiuliza
yaani Dunia ilivyo na watu wengi hivi inawezekanaje
mtu akawa na MARAFIKI 7 TU?? Lakini sasa
nimeelewa jambo 1, HAKUNA FAIDA ya kuwa na
Marafiki Lundo ambao Hawakuingizii Hata Senti 5... A relationship should be a WIN-WIN SITUATION... Peaneni dili...Huyu awe na Bar na Iwe Bar yenu
wote, mnywe na kula ili RAFIKI YENU AINGIZE HELA..
Huyu awe na INSURANCE COMPANY, na Circle yote
ikate Bima kwake AINGIZE HELA... Huyu awe na
BAKERY na wote mnunue Mikate hapo na kumsaidia kuitangaza Wateja waongezeke...
HUO NDIO URAFIKI! Hamna Faida ya kuwa na Marafiki
Jeshi ambao ukipata hata shida ya Elfu 50 WOTE
WAMEFULIA HAWANA MSAADA, na hawakuingizii
Hela, ila ikifika Kila Ijumaa wao ndio wa kwanza
kutuma meseji za "OYA BATA WAPI LEO" Bata wako Bandani Wamelala
Kenge wa Maziwa we!
Safi kabisa nadhani mtizamo wako wewe ndo upo sahihi.. Kula five Kaka umetisha mtoa maadA lazima ajue kuwa watu wametofautina maisha, vipato na mambo mengi muhimu ni kwenda nao vizur.. huwezi kusema hutaki marafiki akati Kuna shughuli nyingine Bila watu haziendi.. Unaonaje ikiwa una marafiki saba na wote Wana uwezo halafu kwenye harusi au msba au janga lolote wakajitokeza Hao saba tu. Mwisho tupendane woteNa wewe ungekuwa ni miongoni mwa waliofulia, ungejisikiaje marafiki zako wote wa karibu ambao angalau wanajiweza kuliko wewe wakikutupa kwa kuwa umefulia? Kataa marafiki wanaoweza kukupotosha na kukuharibia maisha yako tu lakini si kwa kigezo cha kufulia. Marafiki ni muhimu kwetu kwa namna yeyote ile sio lazima wawe wanakusaidia. Futa hiyo dhana ya kusaidiwa, hatuishi ili tusaidiwe ila ni wajibu wetu kila mmoja ajisaidie wenyewe.
Zamani nilikuwa nawashangaa Watu ambao wana
Marafiki Wachache (SMALL CIRCLE), nikawa najiuliza
yaani Dunia ilivyo na watu wengi hivi inawezekanaje
mtu akawa na MARAFIKI 7 TU?? Lakini sasa
nimeelewa jambo 1, HAKUNA FAIDA ya kuwa na
Marafiki Lundo ambao Hawakuingizii Hata Senti 5... A relationship should be a WIN-WIN SITUATION... Peaneni dili...Huyu awe na Bar na Iwe Bar yenu
wote, mnywe na kula ili RAFIKI YENU AINGIZE HELA..
Huyu awe na INSURANCE COMPANY, na Circle yote
ikate Bima kwake AINGIZE HELA... Huyu awe na
BAKERY na wote mnunue Mikate hapo na kumsaidia kuitangaza Wateja waongezeke...
HUO NDIO URAFIKI! Hamna Faida ya kuwa na Marafiki
Jeshi ambao ukipata hata shida ya Elfu 50 WOTE
WAMEFULIA HAWANA MSAADA, na hawakuingizii
Hela, ila ikifika Kila Ijumaa wao ndio wa kwanza
kutuma meseji za "OYA BATA WAPI LEO" Bata wako Bandani Wamelala
Kenge wa Maziwa we!
alafu matajiri wengi mabahiliTulipokuwa vijana tulishangaa kwa nini matajiri hawana marafiki,kumbe waliona mbali.
Na wengi waliofanikiwa hawana mlolongo wa marafiki,na hata ukitaka kuwazoea huwezi pata kitu,funga safari nenda kwake hata maji ya kunywa hupati na utaishia kukaribishwa ndani ya geti lakini nje ya nyumba🙂
Mlundikano wa marafiki hewa wasio na faida yoyote ndo kitu kinachopingwa, soma vizuri postNa wewe ungekuwa ni miongoni mwa waliofulia, ungejisikiaje marafiki zako wote wa karibu ambao angalau wanajiweza kuliko wewe wakikutupa kwa kuwa umefulia? Kataa marafiki wanaoweza kukupotosha na kukuharibia maisha yako tu lakini si kwa kigezo cha kufulia. Marafiki ni muhimu kwetu kwa namna yeyote ile sio lazima wawe wanakusaidia. Futa hiyo dhana ya kusaidiwa, hatuishi ili tusaidiwe ila ni wajibu wetu kila mmoja ajisaidie wenyewe.