Toka enzi timekuwa tunaona mwenge unazungushwa Nchi nzima na kuteketeza mabilioni ya pesa,kwa upande wangu mimi sioni faida za kukimbiza mwenge zaidi ya kupoteza pesa na kuwapumbaza wananchi.
Mahala popote mwenge unapoenda sina hakika kunamwananchi utamuuliza faida za mwenge na akakupa majibu kuntu ukaelewa na hii hata viongozi wenyewe hawana majibu sahihi. Mara zote husema kuzinduwa miradi,mara kuleta matumaini pasipo na matumaini.
Sasa kama kizinduwa miradi kwanini waziri husika asisafiri na msafara wa gari4 tu akazinduwe?Na matumaini hayaletwi na ule moto labda iwe moto huo unaushirikina.Matumaini huletwa na hali bora ya maisha ,kipato,uhuru na haki.
Kwa upande wa wananchi mwenge unapokaribia wao hufurahia kwenda kucheza mziki,kukesha usiku na kufanya ngono uzembe.wachache huenda kufanya biashara lakini bado huwezi kusema hiyo ni faida ya mwenge mana biashara mtu hufanya kila siku.
Na waandishi wa habari nao hawana muda wa kuhoji zaidi mana nao wamekata tamaa wanajua watajibiwa yaleyale yasiyokuwa na mashiko wamebaki kukariri yaleyale.
Nahitimisha kwa kusema mimi sioni umuhimu wa mwenge ni kupoteza pesa tu.