omujubi
JF-Expert Member
- Dec 6, 2011
- 4,326
- 2,506
nimekuwa nikifuatilia mikutano tofauti ya tume za uchunguzi (commission of inquiry) za Kenya na moja ya vitu vinavyonivutia ni kuwa mara nyingine wanatumia vyumba vyenye kuta zilizowekwa vioo. Hii inasaidia kuwa mtu anavyokuwa anaeleza kitu anaweza kujiona kwenye kioo (yaani kama salon). Hii system inasaidia sana kumjua mtu anaposema uongo maana naye anajiona kuwa amedanganya!
Nimemuona pia Dau akiongea jana japo haihitaji utaalamu mwingi wa kujua wasema uongo huonekana vipi lakini alikuwa anasema tu kikubwa akijua kuwa pale alipo msingi wake sio haki na ukweli.
Sasa kama anataka kutwambia kuwa huu mfumo haupo kwingine ni kwa nini tusichukue pesa zetu sasa kutokana na mkataba wa zamani then wanaotaka waombe upya ambazo pesa zao zitakaa mpaka huko wanakokusema!
Inasikitisha kuwa taifa la waongo na wasiojali.