Hakuna Fao la Kujitoa NSSF duniani kote - Ramadhan Dau

Hakuna Fao la Kujitoa NSSF duniani kote - Ramadhan Dau

nimekuwa nikifuatilia mikutano tofauti ya tume za uchunguzi (commission of inquiry) za Kenya na moja ya vitu vinavyonivutia ni kuwa mara nyingine wanatumia vyumba vyenye kuta zilizowekwa vioo. Hii inasaidia kuwa mtu anavyokuwa anaeleza kitu anaweza kujiona kwenye kioo (yaani kama salon). Hii system inasaidia sana kumjua mtu anaposema uongo maana naye anajiona kuwa amedanganya!

Nimemuona pia Dau akiongea jana japo haihitaji utaalamu mwingi wa kujua wasema uongo huonekana vipi lakini alikuwa anasema tu kikubwa akijua kuwa pale alipo msingi wake sio haki na ukweli.
Sasa kama anataka kutwambia kuwa huu mfumo haupo kwingine ni kwa nini tusichukue pesa zetu sasa kutokana na mkataba wa zamani then wanaotaka waombe upya ambazo pesa zao zitakaa mpaka huko wanakokusema!
Inasikitisha kuwa taifa la waongo na wasiojali.
 
Anasema FAO la kujitoa halipo kwenye sheria za nchi, swali langu ni kwamba kama hilo swala ni kweli halipo na yeye akiwa kama mkurugenzi wa NSSF aliruhusu watu kuchukua hilo FAO la kujitoa huko nyuma hatuwezi tukamshitaki kuwa alivunja sheria ya nchi ? Na kama hakuvunja basi ni sahihi tuendelee kuchukua pesa zetu. Haki ya mungu hapa tutapigana.
 
Au alitumia kifungu kipi kuruhusu watu wachukue hizo fedha? harafu nssf wanacheza sana na pesa za wachangiaji nimesikia jana wanajenga kituo cha vipaji wamekipa jina la club maarufu, mara madaraja, mara machinga complex. Tutakufa hata miaka 60 ikifika hawawezi kulipa wale ndo tutakuwa tumeliwa. ebu fikiria kituo cha talent hicho kitarudishaje michango yetu?????
 
Wenzetu Ulaya wameondoa fao la kujitoa lakini wemekea fao la kukusaidia kipindi kazi inapokushwa.
 
Huu upumbavu utaisha lini? Kila siku hata Kenya, huu ni ukilaza wa kutupa. Kinachofanyika ni kwamba hizo hela wanazifanyia biashara bila ridhaa ya wenye nazo na hiyo faida hatujui inamnufaisha nani! Watumishi wa NSSF wanapewa mikopo mikubwa tena bila riba. Je sisi wenye hizo fedha ni wapi tunakuwa na kauli juu ya fedha zetu. Kama kuna vitu vitakavyochangia utawala wa hii nchi kuwa mgumu ni pamoja na hii sheria kandamizi. HAITAKUBALIKA NG'O.
 
jamani huo ni msiba kwangu mimi niko NSSF sasa nikiamua kuhamia ALPF ambakowana utaratibu ukijitoa wanakulipa itakuwaje, watakubali?
naomba kujua utaratibu ili nihame fasta, kwa jinsi tunavyokufa kizembe kama kibarlow, kimwangosi, kimbagala na gongolamboto kwa mabamu, meli za spice sagth zilivyozama ... hiyo miaka sitini atafikisha nani kwa mazingira hayo??
 
Mkuu umeni-touch sana!
 
nimekuwa nikifuatilia mikutano tofauti ya tume za uchunguzi (commission of inquiry) za Kenya na moja ya vitu vinavyonivutia ni kuwa mara nyingine wanatumia vyumba vyenye kuta zilizowekwa vioo. Hii inasaidia kuwa mtu anavyokuwa anaeleza kitu anaweza kujiona kwenye kioo (yaani kama salon). Hii system inasaidia sana kumjua mtu anaposema uongo maana naye anajiona kuwa amedanganya!

Nimemuona pia Dau akiongea jana japo haihitaji utaalamu mwingi wa kujua wasema uongo huonekana vipi lakini alikuwa anasema tu kikubwa akijua kuwa pale alipo msingi wake sio haki na ukweli.
Sasa kama anataka kutwambia kuwa huu mfumo haupo kwingine ni kwa nini tusichukue pesa zetu sasa kutokana na mkataba wa zamani then wanaotaka waombe upya ambazo pesa zao zitakaa mpaka huko wanakokusema!
Inasikitisha kuwa taifa la waongo na wasiojali.

Kwanini haufanyi kazi ya kuwa "official lie detector"?

Dau ana nini cha kudanganya hata adanganye? kuna motive yoyote ya yeye kusema uongo? kama unavyo dani wewe?

Wewe ni Mkenya au sio?
 
Kinachonichosha tu ni ile tabia ya kucopy vile vinavyowaumiza wananchi, what if wakicopy na yale yenye manufaa? Ili tuwaone wako fair, wajaribu basi kuwanufaisha wananchi kwa kucopy zile policy zinazowafavour wafanyakazi. Tumechoka kunyongwa basi tu. Halafu siku nyingine asiongee kwa confidence kihivyo, akifikiria hakutakuwa na challenge katika kauli yake.
 
Hivi lazima kila kitu tufanane na nchi nyingine za dunia?! Hatuwezi kubuni vya kwetu kwa ajili ya maslahi yetu? Majitu mengine bwana?!

Awali ya yote aeleze hapo awali fao hilo lilipokuwepo shirika lilipata athari gani? au ni kitu gani kilichopelekea muswada wa kufuta fao hilo ukapelekwa bungeni na kupitishwa kiajabuajabu? Ingawa mie sio mwana uchumi, naona kuwepo kwa fao hili kutaongeza na kuvutia wanachama wengi zaidi kuliko kutokuwepo ikimaanisha watakaojiunga watakuwa wengi zaidi ya watakaojitoa. By the way huyu ni Dr. wa nini?
 
Tatizo letu ni kwamba kila mtu anajifanya anajua na tunaingiza siasa kwenye kila kitu. na wengine tukiwaambia ukweli mnatuona kama majuha lakini ukweli hata ukiuzungusha namna gani unatabia ya kukudhihirishia siku moja na matokeo ni kuwa athari zake zinaweza kuwa hasi na usiwe wa kumlaumu.
Kwa wale mnaokumbuka ni kuwa miaka ile ya nyuma tulikuwa na NPF [National Provedunt Fund] kutokana na kilio cha wafanyakazi ILO iliombwa kusaidia ili mfuko uendane na sheria za kimataifa kuhusu uendeshaji mfuko huo. Matokeo yake ni NSSF ambayo ninadiriki kusema ndiyo mfuko unaolipa pensheni kubwa zaidi ya mifuko yote kwa wale wanachama wenye mishahara ya kima cha chini. Mfumo wai social security hakuna kujitoa dunia nzima. ila kwa wenzetu kama huna kazi hupata kiasi fulani cha kukuwezesha tu kuishi lakini hukoma pale unapopata kazi. sisi huku kwetu hatujafikia hapo.
Kama mnependa kuwe na mfumo wa kujitoa inabidi turudi kwenye provedunt fund halafu tufanye vitu vyetu [itabidi tuvunje baadhi ya vipengele vya ILO convention vinavyohusu maslahi ya wafanyakazi.
Kama ushauri ni kuwa ili mfuko uwe na uwezo mkubwa na kukidhi haja ni bora katika nchi kuwe na mfumo mmoja tu wa social security ambao uwe ndio msimamizi mkuu wa mambo hayo.
Siyo hivyo tu bali hivi sasa wana to hata huduma ya matibabu kwa wanachama wake na familia zao na kwa kwenda na wakati wameanzisha hata kukopesha ujenzi wa nyumba kwa wafanyakazi wanaokaribia kustaafu.
 
Kweli elimu a kikoloni mbaya sana yaani huyu pamoja na PHD yake anaongea utumbo kama huu?
 
Namuonea huruma rais wa ccm ataekwekwa kuomba kura za wafanyakazi ....na hasira tutakzzokuwa nazo baada kikao hiki cha Oct;wamechezea pesa zetu leo wanatubana na sheria za kipuuzi!!watashangaa
 
Kitakusaidia nini? wakati bado una nguvu zako na unaweza kufanya kazi. Kumbuka hizo fedha zinawekwa pale utapokuwa umeishiwa na nguvu na madhara ya kupewa mapema yameonekana ndio maana kwa upande wangu naona ni bora inavyofanywa sasa kwani ukiwa hauna nguvu huna haja ya kuwa Matonya.
Ajira zenyewe ziko wapi? Tatizo lingine ni kuwa Mifuko yetu ya Hifadhi ya Jamii haizingatii thamani ya pesa, umechangi laki moja tangu 1960s ukistaafu wanakupatia riba ya elfu 8!
 
48. Theprinciple act is amended by repealing section 18 and substitung for it the following new sections

RECOVERY OF CONTRIBUTION CAP 33

18.(1) Every statutory contribution due to the fund may be recovered by way of summary
suit underorder XXXV of civil procedure code at any time after the date which it is due
18. (2) Where an offense is committed by reason of non payment of statutory contribution no prosecution shall be commenced without consent of director of public prosecution

49. The principle act is amended in section 20 by adding immediately after subsection 3 the following new sub-sections

(4) Without prejudice to subsection 1, 2, and 3 benefit for entitled person maybe used as collateral for home
mortgage for a member who has not attained the age of retirement

Wanasheria hebu tupeni uelewa juu ya order XXXV of civil procedure code, na haya mambo ya mortgage hapo sielewi elewi! kwanini iwe collateral kwa homemortgage tuu isiwe collateral labda ya kuombea mikopo benki!!!
 
Back
Top Bottom