Hakuna fisadi anayeweza kukwambia amekuja kukuibia, Mafisadi wa EPA waliwahonga mpaka Maaskofu

Hakuna fisadi anayeweza kukwambia amekuja kukuibia, Mafisadi wa EPA waliwahonga mpaka Maaskofu

Boss la DP World

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
2,318
Reaction score
8,464
Wakuu kuna jambo haliko sawa na tutakumbuka shuka tukiwa tumechelewa. Wawekezaji wote wanaokuja hapa huwa wanapambwa sana na wanasiasa mwisho wa siku tunaibiwa kizembe. Kipindi cha EPA mpaka viongozi wa dini walihongwa, hivyo tusidanganyike kizembe.

Tafadhali Mh Raisi, kwenye hili la ubinafsishaji anzieni kwenye bandari za Zanzibar tuone itakavyokuwa, DP World sio washamba kiasi hicho.

Wananchi tuungane kupiga kura kwenye hii petition kupinga unyonyaji huu utakaofanya vizazi vyetu vitushangae.

 
Back
Top Bottom