Hakuna gold-digger aliwahi maliza salama hata mmoja

Hakuna gold-digger aliwahi maliza salama hata mmoja

Yesu Anakuja

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2019
Posts
12,675
Reaction score
25,924
Wanawake mnaovamia vibabu au matajiri ili mrithi mali wakifa au ili mfaidi, au ili muzalishwe mpate matumizi ya watoto, jueni moja kwamba hakuna gold digger hata mmoja aliyemaliza bila kujuta. jifunzeni kwa wenzenu.
 
Nadhani alitaka kuwapa ishu ya viki kamata mbunge mstaafu wa mataga , sio huyo tu kuna mengine meeengi kama ya jacline Mengi, huwezi kuingia kwenye ndoa kwa mategemeo ya urithi never. Tafuta mali zako kihalali.
 
Back
Top Bottom