Hakuna Haja Ya Kuandamana Na Kupoteza Uhai,Damu Iliyomwagika Awali Inatosha

Ertugrul Bey

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2020
Posts
14,705
Reaction score
30,041
file_00000000921c722f80276589cbffe848.png

My people,​

Natambua kabisa bandiko hili halikubaliki kwa wengi wenu na mna haki ya kufanya hivyo kama ambavyo nami nina haki ya kuandika haya

Guys Serikali inaondoka madarakani pale tu ambapo jeshi au majeshi ya Ulinzi na Usalama yakiwa pamoja na wananchi na kujitenga na Dola,hapo ndio mtegemee back up yao

Lakini

Kwa hapa Tanzania hilo halipo kabisa,bado Amiri JESHI MKUU anaungwa mkono kwa asilimia Mia na Jeshi na vyombo vya Ulinzi na Usalama

Na kwa jinsi inavyosemekana muundo wa jeshi letu baada ya mara kadhaa kutaka kupindua Serikali ya Hayati Kambarage Nyerere,likaundwa katika namna ambayo ni vigumu sana kwa CDF kufanya uasi au kupindua Meza

Inahitaji ushirikiano wa vitengo Vinne tofauti kukubaliana kwa pamoja na kupitisha hilo jambo,kitu ambacho ni kigumu kwakuwa Kati ya hao wanne hapo kuna watu wa karibu wa Amiri JESHI MKUU.

Pili mama yenu aliwaambia kwamba nguvu aliyotumia 29 October iliendana sambamba na nguvu ambayo Gen Z waliiitumia,kwahiyo kama mkiamua kuandamana basi mjichagulie nguvu ambayo AMIRI JESHI MKUU atawapimia kwa kiwango ambacho mtaweza kustahamili.

Mama aliwaambia wazungu WHO ARE YOU??

Sasa sijui nyie ni Akina nani mpaka mtake kuingusha dola yake

Msiseme hamkuonywa!!

Ni hayo tu!
 
View attachment 3511585

Acha usenge
 
Acha uchawa
 
What I've learnt so far,tangu yatokee maandamano 29 October na watz wengi kufa,nchi imebadilika sana.

Madogo wamekuwa manunda na hawaogopi chochote. Na yote hii wameyataka viongozi wasiopendwa ila wakang'ang'ania madaraka.

Gen Z Wana msemo wao " solders never die at home,they die in the battlefield"

Pamoja na VITISHO vyenu,msowachukulie poa Hawa vijana. Hawawaogopi tena!!

Ogopa sana mtu ambaye haogopi kufa.
 
Damu zetu na DNA zetu zinaasili ya kishujaa na maisha yetu ni vita tosha hakuna jeshi wala kikundi chochote cha kijeshi kitaweza kututishq maana hakuna chochote wanachotuzidi,maana wenyewe hawajui watapigana na sisi kwasababu gani ,lakini sisi tunania na sababu ya kupambana nayo
,haiwezekani mtu apole uchaguzi,ajisimike madarakani kwa bunduki, bado ameuwa wazalendo elfu 23 plus,bado maelfu ya wazalendo wamefukiwa wakiwa hai na wengine wakiwa wamekufa kama kuku waliokufa na kideli,bado dictator anateka,anafira,analawiti na anabaka,je ni sababu ipi itakayotuzuia tusimfurushe nduli huyu December 9,2025??,je wao kitu kipi kitakacho wapa nguvu ya kupambana na sisi??
 
Acha kuwazuia nyumbu, sisi wengine furaha yetu ni kuona nyumbu wahalifu wezi na waharibifu wa mali za watu wakichapwa risasi bila huruma.
 
Nafikiri tungekuwa na mtandao wetu wananchi ambao selikari na jeshi la ulinzi hawaoni tunachopanga tungeweza sasa shida hadi wao wanajua tunachojiandaa kukifanya si watatudhibiti vya kutosha me nashauri tusiwe tunapanga tarehe we ukipata nafasi ya kumuathibu mwana ccm muadhibu ipasavyo iwe siku ya maandamano iwe si ya maandamano we mushughilikie ni mwendo wa kufizia
 
Back
Top Bottom