Hakuna haja ya kumsakama Nape juu ya kukamatwa Mwaipaya. CHADEMA tambueni kuwa hakuna jinai pasipo na sheria

Hakuna haja ya kumsakama Nape juu ya kukamatwa Mwaipaya. CHADEMA tambueni kuwa hakuna jinai pasipo na sheria

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Kama kweli alizua uongo acheni sheria ifuate mkondo. Japokuwa Nape sio, lakini msimsakame kama vile amefanya kwa amri zake binafsi.

Screenshot_20220709-165210.jpg
 
Nape ni waziri kwa sasa. Anaongoza wizar kwa kufuata sheria. Sheria kandamizi za Magufuli mpk leo hazijabadiloshwa. Mnataka Nape afanyeje ktk mazingira kama haya?

Wa kulaumiwa hapa ni Samia.
 
Nimepitia maa nyingi account ya Twitter ya Nape Nnauye.Ki ukweli anatakiwa ajue nafasi aliyo nayo na ikiwezekana apunguze jazba.Nchi ina watu wengi na wa tabia tofauti na akitaka kujibu kila kitu ataharibu!!
 
Nape ni waziri kwa sasa. Anaongoza wizar kwa kufuata sheria. Sheria kandamizi za Magufuli mpk leo hazijabadiloshwa. Mnataka Nape afanyeje ktk mazingira kama haya?

Wa kulaumiwa hapa ni Samia.

Mkuu sheria hizo hizo zinakataza Serekali kununua vitu mitumba (used), je kwenye vichwa vya treni sheria imefuatwa? Hicho kichaka cha sheria tokeni maana hakiibebi serikali.
 
Nimepitia maa nyingi account ya Twitter ya Nape Nnauye.Ki ukweli anatakiwa ajue nafasi aliyo nayo na ikiwezekana apunguze jazba.Nchi ina watu wengi na wa tabia tofauti na akitaka kujibu kila kitu ataharibu!!

..Nape ametumia lugha ya MATUSI.

..Na Ccm wanaongoza kwa kutukana na kudhalilisha viongozi na wafuasi wa vyama mbadala.
 
Nape ni waziri kwa sasa. Anaongoza wizar kwa kufuata sheria. Sheria kandamizi za Magufuli mpk leo hazijabadiloshwa. Mnataka Nape afanyeje ktk mazingira kama haya?

Wa kulaumiwa hapa ni Samia.
Kwanini hajapeleka mswaada bungeni zibadilishwa kama si mumoja kwa wanaoleta dhuruma
 
34F3EE2B-F1AE-404E-8120-E14DFE7B6766.jpeg

Inasemekana amekamatwa kutokana na hii picha + zingine 2 ambazo pia zipo Kwenye Tovuti ya BBC.Kwenye tovuti ya BBC inasema hizi Picha zimepigwa Kenya
 
..Nape amesahau alivyonusurika kupigwa risasi?

..amshukuru Maulidi Kitenge kuingilia na kumuokoa siku ile.
Magufuli alikuwa na huruma sana ningekuwa mimi ndiyo Rais wangejua wawajui
 
Back
Top Bottom