Hakuna haja ya kumsakama Nape juu ya kukamatwa Mwaipaya. CHADEMA tambueni kuwa hakuna jinai pasipo na sheria

Hakuna haja ya kumsakama Nape juu ya kukamatwa Mwaipaya. CHADEMA tambueni kuwa hakuna jinai pasipo na sheria

Mkuu sheria hizo hizo zinakataza Serekali kununua vitu mitumba (used), je kwenye vichwa vya treni sheria imefuatwa? Hicho kichaka cha sheria tokeni maana hakiibebi serikali.
Tena yule mjambiani mpumbavu katangaza wazi wazi kuwa tunanunua treni za mitumba ...mimi siku zote nasema kukubali kuwa chini ya sheria ni upumbavu maana sheria siyo Haki
Wapo watu hawajui tofauti ya sheria na haki, tena ni pamoja na wanasheria pia awajui
 
Kiongozi aliyeondolewa madarakani Kwa kumteta mkuu wake wa kazi Kisha akashikiwa bastola hadharani lakini mwisho wake alitembea Kwa magoti kuanzia lango kuu la Ikulu all the way hadi kwenye unyayo wa jiwe na kuonesha unyenyekevu wote (ingawa ni wa kinafki) na kulia bila kusahau kusahau meno na kuomba kuwa amekosa sana! Hii pekee ingetosha kukosa credibility ya kuwa kiongozi maana hayo matukio yote psychologically yupo stressed na usikute Sasa hivi anatafuta kibonde nae amshushie zigo ambalo alitwishwa na jiwe
 
Kwanini hajapeleka mswaada bungeni zibadilishwa kama si mumoja kwa wanaoleta dhuruma
Mswada hauanzishwi na waziri ama wizara bila ya ridhaa ya mwenye nchi (rais).

Usitegemee waziri wa katiba na sheria aamue tu kupeleka mswada wa marekebisho ya katiba bila ya kupewa rukhusa na rais.

Au waziri wa ulinzi afanye mabadiliko ya sheria ya PGO bila ya kuridhiwa na rais.

Kwahiyo ndugu yangu, sheria hubadilishwa baada ya Baraza la mawaziri kuketi na kuridhia chini ya mwenyekiti ambaye ni rais wa nchi.
 
Nape ni waziri kwa sasa. Anaongoza wizar kwa kufuata sheria. Sheria kandamizi za Magufuli mpk leo hazijabadiloshwa. Mnataka Nape afanyeje ktk mazingira kama haya?

Wa kulaumiwa hapa ni Samia.

..Nape anatakiwa amshauri Raisi kwamba sheria hizo ni kandamizi ili zibadilishwe.
 
..Nape anatakiwa amshauri Raisi kwamba sheria hizo ni kandamizi ili zibadilishwe.
Mara nyingi Nape anesikika hadharani akiepezea nia ya kuzibadilisha. Lkn yawezekana bado hajapata baraka za bosi wake (rais)
 
View attachment 2285630
Inasemekana amekamatwa kutokana na hii picha + zingine 2 ambazo pia zipo Kwenye Tovuti ya BBC.Kwenye tovuti ya BBC inasema hizi Picha zimepigwa Kenya
Kumbe Loriondo kuna jangwa kama Marsabiti?
Kama Alitalia picha za uongo kusambaza propaganda za kijinga basi kwenda kutimba kwenye ndoo ni haki yake. Hakuna mtu anayetaka ujinga wa aina hiyo.
 
Kama kweli alizua uongo acheni sheria ifuate mkondo. Japokuwa Nape sio, lakini msimsakame kama vile amefanya kwa amri zake binafsi.

View attachment 2285486
Sh 10,000/= unit 28.1
Sh 10,000/= unit 28.0
Mbona zote ni sawa hakuna tofauti kwa hesabu za bongo.
Si sahihi kukamata watu kwa kigezo cha sheria itaamua, akamatwe mtu endapo kuna kiashiria cha kosa. Leo humu JF ameandika kutakuwa mgao wa umeme kwa siku nne, je na huyu ametenda uhalifu kwa kusababisha taharuki? Wakati yule wa Chadema anaandika kuhusu ongezeko la bei ya umeme tayari humu JF kuna watu walikuwa wamekisha zungumzia kitambo, tusitetee uonevu.
 
..Nape anatakiwa amshauri Raisi kwamba sheria hizo ni kandamizi ili zibadilishwe.
Sheria zibadilishwe kwa ajili ya mpuuzi mmoja wa Chandema aliyevunja sheria kwa kalamu yake mwenyewe.
Nyumbu sijui mnawazaga na nini.
 
Matusi ya kina Nape yanafuatisha the tone at the top. Wameona bosi wao mwenyewe hajiheshimu.

Rais Suluhu ametukana Watanzania waliotofautiana nae kuhusu tija ya safari zake, kwamba eti wana akili ndogo.

Unatukanaje wapiga kura wako na walipa kodi wako wanaokulipia kuanzia vocha ya simu mpaka gharama za kulala kwenye mahoteli ya kifahari New York City?
 
Bado wahuni wapo.
Waziri anaandika pumba kweli. Ni busara kutokujibizana na raia wewe ukiwa ni kiongoz, na unapotraka kujibizana na raia, andika kwa lugha ya mtu ambaye ni kiongozi siyo lugha ya vichochorni.
 
Waziri anaandika pumba kweli. Ni busara kutokujibizana na raia wewe ukiwa ni kiongoz, na unapotraka kujibizana na raia, andika kwa lugha ya mtu ambaye ni kiongozi siyo lugha ya vichochorni.
Ndivyo CCM inavyowalea vijana wake na wengi baba zao nao walikuwa viongozi waandamizi wa CCM. Huwezi ukapanda mchicha ukavuna mbaazi, lazima tu utavuna ulichopanda!

Adui nambari wani wa taifa hili ni CCM, period,
 
Mswada hauanzishwi na waziri ama wizara bila ya ridhaa ya mwenye nchi (rais).

Usitegemee waziri wa katiba na sheria aamue tu kupeleka mswada wa marekebisho ya katiba bila ya kupewa rukhusa na rais.

Au waziri wa ulinzi afanye mabadiliko ya sheria ya PGO bila ya kuridhiwa na rais.

Kwahiyo ndugu yangu, sheria hubadilishwa baada ya Baraza la mawaziri kuketi na kuridhia chini ya mwenyekiti ambaye ni rais wa nchi.
Apeleke Kwenye baraza la mawaziri ikishindikana kwakuwa yeye ni mtenda haki aachie ngazi finish, hizi zingine ni ngonjera tu wanajifanya wanakondoo wanapo kosa vyeo.
 
Nape na Makamba wana laana ya kushangilia msiba
Mbona msiba ulishangiliwa karibu na Watanzania wote wenye akili timamu. Waliofiwa ni Sukuma gang na watu kama wewe. Period
 
Magufuli alikuwa na huruma sana ningekuwa mimi ndiyo Rais wangejua wawajui
Yes, aliwaonea huruma sana watu kama Azori , Ben saanane na Lissu. Mungu akipenda amfanye kuni huko kuzimu
 
Amesahau alivyotembea kutoka ocean road hadi Ikulu
Kashasahau kabisaaa, na Jiwe aliwanyoosha huyu na Makamba.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sahivi wanateswa na kivuli chake.
 
Kiongozi aliyeondolewa madarakani Kwa kumteta mkuu wake wa kazi Kisha akashikiwa bastola hadharani lakini mwisho wake alitembea Kwa magoti kuanzia lango kuu la Ikulu all the way hadi kwenye unyayo wa jiwe na kuonesha unyenyekevu wote (ingawa ni wa kinafki) na kulia bila kusahau kusahau meno na kuomba kuwa amekosa sana! Hii pekee ingetosha kukosa credibility ya kuwa kiongozi maana hayo matukio yote psychologically yupo stressed na usikute Sasa hivi anatafuta kibonde nae amshushie zigo ambalo alitwishwa na jiwe
Visasi sahivi vinatembea lol.
 
Back
Top Bottom