Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
Tena yule mjambiani mpumbavu katangaza wazi wazi kuwa tunanunua treni za mitumba ...mimi siku zote nasema kukubali kuwa chini ya sheria ni upumbavu maana sheria siyo HakiMkuu sheria hizo hizo zinakataza Serekali kununua vitu mitumba (used), je kwenye vichwa vya treni sheria imefuatwa? Hicho kichaka cha sheria tokeni maana hakiibebi serikali.
Wapo watu hawajui tofauti ya sheria na haki, tena ni pamoja na wanasheria pia awajui