Dunia ni yawatu wenye nguvu hii
UKijifanya mnyonge kwa kudai haki yako hupati zaidi utasingiziwa kesi ya ubakaji au kesi yeyote ili uzidi kuteseka
Hakuna haki yeyote ambayo inapatikana duniani
Iwe serekalini au kokote
Kupata haki yako kwa kujifanya mnyonge ni vigumu mno
Mathayo 25:29
Kwa maana kila aliye na kitu atapewa, naye atakuwa na vingi bali yule asiye na kitu, hata kile alicho nacho atanyang’anywa.
Ni aibu kubwa sana kuona kijana ndogo anajiita mnyonge 😅😆😁😀