Pre GE2025 Hakuna jambo analolifanya Tundu Lissu ambalo Maalim Seif Shariff Hamad hakulifanya katika kusaka Dola na hakufanikiwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Lisu analeta uongozi wa kiuharakati kama enzi tukiwa shuleni tulivyokuwa tunaponzwaga na mob pyschology
 
Kuna njia moja tu, ikitumika Chama .Cha .Mende kinaenda kuwa chama Cha kiharamia.
Ila damu za Nzige lazima zitamwagika nyingi.
Ki
 
Maccm mtaacha lini upumbavu, kama Marehemu Seif alifanya hayo hakufanikiwa kwa hiyo wengine wakunje mikono tu wasubiri kutekwa na kuuwawa na CCM na vyombo vya dola? Kama mnaona anachofanya Lissu hakina tija nyie shida yenu nini?Mumekalia umbea kama machangudoa vile. Kila mtu ashinde mechi zake.
 
Kutofanikiwa kwa Maalim Seif hakuweza kuwa sababu ya kutofanikiwa Tundu Lissu.

Maalim Seif alipigana vita, Mwenyezi Mungu amfanyie wepesi Mzee huyu, amuondolee adhabu Kaburi na kumsamehe dhambi zake.
 
Hata manabii na mitume waliongelea na kufundisha watu waache ubaradhuli,wizi,uongo,ulaghai,ujambazi,tamaa za kujilimbikizia mali,kiburi,umalaya,ufiraji,ulevi, ushamba wa madaraka n.k
Walihubiri viongozi watende haki na wasiwaonee wanao waongoza wala wasiibe mali zao, wala wasiwashitaki kwa uongo,watosheke na mishahala yao.
Ccm wanafanya yote kuua,kudhulumu,kuiba, kuonea,kushtaki watu kwa makosa ya uongo,kuteka ,kutesa,kufira,kulawiti,kubaka, na mauchafu mengine yote.
Lissu anatimiza wajibu wake ili wananchi wasije wakamlaumu MUNGU kuwa hakuwasaidia maana anaesababisha umasikini wao na mateso makali anatangazwa kila siku na wanasikia hivyo wanaangamia kwa kukosa maarifa sio kwa mapenzi ya MUNGU.
 
Haya majangili ya mali za umma haya akili kabisa
 
una dalili zote za kua umetapeliwa pesa tayari na inakuuma kweli
 
Sasa ifanye siasa kuwa maisha yako achana na soka sasa imetosha.
 
Lisu ni tapeli
Lisu ni tapeli la kisiasa .Mbowe ni kiongozi bora
 
Jinsi unavyoongelea hizi hoja..utadhani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…