Hakuna jambo baya kama kuhisi umeathirika na unaogopa kwenda kupima

Bado uzi wako ni muendelezo wa kujifariji mkuu.

Wengi tunagoma kupima, ila cha kufanya ni kutulia na kuishi vyema now huku matumaini yakiwepo, kama haupo itakua hvyo ila kama upo ipo siku tu utajua.

Keep the good spirit.
 
Nitapima siku si nyingi ila nina 65% kuwa niko safe hizo zilizobaki ni hofu pamoja na makato ya VAT
 
Hahahah mie pia

Japo ni vitu vya kawaida lakini ukawaida wake sio wa kawaida
Duh kumbe hadi wewe!??
Mimi hata nikiwa niko njia kuu ila Uoga uko pale pale,mtoa mada amepita mulemule.

Ukawaida usio wa kawaida[emoji23][emoji23]
 
Niende lini maana wiki hii health center nyingi nakuta zimefungwa[emoji27]
mkuu kwani ukisoma soma zile dalili za mwanzo wiki nne hadi sita!! unaonaje.
Mimi sahizi nina kwenda mwezi wa 5 sitaki demu nataka nimalize mwaka kabisa..maana hizo mambo sikia kwa jirani tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…