Duh kumbe hadi wewe!??
Mimi hata nikiwa niko njia kuu ila Uoga uko pale pale,mtoa mada amepita mulemule.
Ukawaida usio wa kawaida[emoji23][emoji23]
ENDELEA KUJIPA MOYO NA MATUMAINI ILA KIPIMO CHA UKIMWI NI ATLEAST MARA TATU. MARA MOJA UCJIPE UHAKIKA SANA. TUISHI TUNYWE MAJI TUACHE STRESS KIFO KIPO TU[emoji28][emoji28][emoji28] umenikumbusha mbaliii,hata Mimi kuna kipindi Fulani miaka ya nyuma kidogo kabla sijawa mama, nilikuwaga na boy friend baada ya kuachana naye nikasikiaga wanamsema eti ana ngoma bwana,hiyo hali ilinitesaa sanaaa Kwa muda mrefu,halafu kupima nikiwa naogopa,kweli kidogo niwe chizi sababu ya mawazo[emoji14],ikatokea tu siku moja najisikia vibayaaa,nikaenda hospital,Dkt akanichukua vipimo vingi vingi kumbe alichukua na cha HIV ila hakuniambia,Majibu yalivyokuja akawa ananisomea sikuwa na wazo kabisa kama atakuwa amepima na HIV, basi akanisomea kisha akasema tumepima pia na HIV huna,weuweeee,nilitamani nimrukieee Kwa furahaaa,baada ya hapo nikapona kabisa hata sikuendelea kuumwa,jamani kumbe stress ni mbaya aisee inatesaa maana nilikuwa naumwa vitu havieleweki, na nilipima vipimo vingii hawakuona ugonjwa wowote.Cha ajabu baada ya Majibu hayo nikawa nimepona kabisaaa [emoji28],nanikawa nimejijengea utaratibu wa ku pima kila wakati...Yule Dr aliniokoa bana.
UNAWEZA USIWE NA DEMU NA UKAPATA.mkuu kwani ukisoma soma zile dalili za mwanzo wiki nne hadi sita!! unaonaje.
Mimi sahizi nina kwenda mwezi wa 5 sitaki demu nataka nimalize mwaka kabisa..maana hizo mambo sikia kwa jirani tu
Ukimwi nao inaonesha si rahisi kuupata hasa ukiwa njia kuu bila kujali unatumia kinga au hutumii.Hahaha tena mie ndio niko kwenye risk ya kuupata kwa namna nyingi tu....sio mdau wa condom japo ni mzuri wa kushauri watu watumie
Ukimwi nao inaonesha si rahisi kuupata hasa ukiwa njia kuu bila kujali unatumia kinga au hutumii.
Shida ni uhuni,hapa ndipo najipa moyo.
Muhimu baki hapo njia kuu [emoji3]
mbona tunatishana tena..nimestop kabisa maana asilimia kubwa ni ngono zembeUNAWEZA USIWE NA DEMU NA UKAPATA.
UKIJUA UKIMWI NI STD AU STI UTAELEWA NINACHO MAANISHA SIKUTISHI. TAFUTA DEMU MKAPIME MNYANDUANE ACHA KUISHI KWA UPWEKE.mbona tunatishana tena..nimestop kabisa maana asilimia kubwa ni ngono zembe
Kweli kabisa..Ubaya wa hizi mambo unaweza kuta upo njia kuu lakini uliye naye hajatulia
Hata hivyo zipo namna nyingine za kuupata sio uhuni tu,hujui?
Kweli kabisa..
Dah sasa hapo kwenye njia nyingine ndipo panapoleta hofu kwa lugha nyingine unaweza ukawa umetulia kama maji mtungini still ukaukwaa
Baada ya Corona Sasa tunarudi kwenye matatizo yetu ya kila siku. Ukimwi ukimwi!Kwani Ukimwi umelipuka Tena?mbona wiki hii Kila Kona ni habari hizi?
Kwani kweli maana Kila Kona ukimwi ukimwiBaada ya Corona Sasa tunarudi kwenye matatizo yetu ya kila siku. Ukimwi ukimwi!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Acha uoga wewe. Tafuna mifupa kama bado meno ipoo
Hahahaaaa kweli kabisa yaani unaanza kuona hata ngozi ya mwili imebadilika kumbe wala hakunaHalafu ajabu ukigoogle tu symptoms unajikuta unazo zote aisee utaharisha na kukonda hadi useme basi...
Niliendelea kupima mara nyingi tuENDELEA KUJIPA MOYO NA MATUMAINI ILA KIPIMO CHA UKIMWI NI ATLEAST MARA TATU. MARA MOJA UCJIPE UHAKIKA SANA. TUISHI TUNYWE MAJI TUACHE STRESS KIFO KIPO TU
Unaweza ukampima kumbe yupo kwenye window period (kipindi ambacho virus havionekani kwenye kipimo),ukapiga kavu na ukaambukizwaUKIJUA UKIMWI NI STD AU STI UTAELEWA NINACHO MAANISHA SIKUTISHI. TAFUTA DEMU MKAPIME MNYANDUANE ACHA KUISHI KWA UPWEKE.