Dalili hizo kamamkuu kwani ukisoma soma zile dalili za mwanzo wiki nne hadi sita!! unaonaje.
Mimi sahizi nina kwenda mwezi wa 5 sitaki demu nataka nimalize mwaka kabisa..maana hizo mambo sikia kwa jirani tu
Ungempa sasa kama asante.[emoji28][emoji28][emoji28] umenikumbusha mbaliii,hata Mimi kuna kipindi Fulani miaka ya nyuma kidogo kabla sijawa mama, nilikuwaga na boy friend baada ya kuachana naye nikasikiaga wanamsema eti ana ngoma bwana,hiyo hali ilinitesaa sanaaa Kwa muda mrefu,halafu kupima nikiwa naogopa,kweli kidogo niwe chizi sababu ya mawazo[emoji14],ikatokea tu siku moja najisikia vibayaaa,nikaenda hospital,Dkt akanichukua vipimo vingi vingi kumbe alichukua na cha HIV ila hakuniambia,
Majibu yalivyokuja akawa ananisomea sikuwa na wazo kabisa kama atakuwa amepima na HIV, basi akanisomea kisha akasema tumepima pia na HIV huna,weuweeee,nilitamani nimrukieee Kwa furahaaa,baada ya hapo nikapona kabisa hata sikuendelea kuumwa,jamani kumbe stress ni mbaya aisee inatesaa maana nilikuwa naumwa vitu havieleweki, na nilipima vipimo vingii hawakuona ugonjwa wowote.Cha ajabu baada ya Majibu hayo nikawa nimepona kabisaaa [emoji28],nanikawa nimejijengea utaratibu wa ku pima kila wakati...Yule Dr aliniokoa bana.
[emoji28][emoji28][emoji28] umenikumbusha mbaliii,hata Mimi kuna kipindi Fulani miaka ya nyuma kidogo kabla sijawa mama, nilikuwaga na boy friend baada ya kuachana naye nikasikiaga wanamsema eti ana ngoma bwana,hiyo hali ilinitesaa sanaaa Kwa muda mrefu,halafu kupima nikiwa naogopa,kweli kidogo niwe chizi sababu ya mawazo[emoji14],ikatokea tu siku moja najisikia vibayaaa,nikaenda hospital,Dkt akanichukua vipimo vingi vingi kumbe alichukua na cha HIV ila hakuniambia,
Majibu yalivyokuja akawa ananisomea sikuwa na wazo kabisa kama atakuwa amepima na HIV, basi akanisomea kisha akasema tumepima pia na HIV huna,weuweeee,nilitamani nimrukieee Kwa furahaaa,baada ya hapo nikapona kabisa hata sikuendelea kuumwa,jamani kumbe stress ni mbaya aisee inatesaa maana nilikuwa naumwa vitu havieleweki, na nilipima vipimo vingii hawakuona ugonjwa wowote.Cha ajabu baada ya Majibu hayo nikawa nimepona kabisaaa [emoji28],nanikawa nimejijengea utaratibu wa ku pima kila wakati...Yule Dr aliniokoa bana.
Ninakuelewa sana aisee, hii hali ilinikuta mimi pia na ilinikondesha sana, acha tuUsiombe hii kitu uwe nayo kwenye mawazo yako na sana sana uwe unaingia kwenye platform mbalimbali kusoma dalili za huo ugonjwa (VVU na UKIMWI) au tabia zake baada ya kuambukizwa na ukawa una shaka juu ya hizo dalili.
Binafsi niliwahi kudumbukia kwenye haya mawazo (hata ukipitia thread zangu za kitambo utagundua hiko kitu)
Matokeo yake nilipata vidonda vya tumbo na kukonda sana na niliamini kweli nimeupata[emoji23].
Lakini nilichogundua ni kwamba yale mawazo yalikuwa ni source ya mimi kupata vidonda vya tumbo na kukonda. Nikaacha hayo mawazo en nowdays nanenepa tu[emoji23] despite sikuenda kupima na niko na msimamo wa kutokwenda kupima.
Ushauri Wangu Kwa Vijana Wenzangu: 1. Tutake Risk huu ugonjwa upo jamani[emoji3]
2. Hakuna kitu kibaya cha kukiogopa kama uoga wenyewe[emoji871]
Am done unaweza kuongezea [emoji124]
Duh,pole Sana,uliteseka Kwa muda mrefu Sana tena ukiwa bado mdogo Sana,hii hali inatesa Kwa kweli,kwanza unaathirika kisaikolojia na kiafya pia, yaani unaona maisha hayana thamani halafu kila wakati wewe una hofuu tuu.Na hali kama hii ikiendelea Kwa muda mrefu Sana wakati mwingine humletea mtu magonjwa makubwa makubwa,au kuteteleka Kwa afya ya akiliKtk maisha hofu ndio kitu kinatesa na kuleta matatizo mengi kwa watu. Hii ilinitokea nikiwa bado primary, nilipigwa sindano ila dawa haikutoka, nilipoona inachukua muda nikamuuliza dokta kulikoni? Akajibu hii sindano imeziba kwa sababu ya nyama maana ilikuwa kijijini kwa wafugaji huko ndani enzi hizo wanachemsha sindano. Kesho yake nikarudi kumalizia dozi ya sindano tano, nilipofika kwa dokta nikamkuta mama mmoja anamlalamikia dokta kuwa tangu mtoto wake apigwe sindano ameanza kuumwa zaidi na huenda sindano za dokta zimemuambikiza HIV. Kengele ikagonga kichwani, hapo ndipo chemi chemi ya mawazo ilipoaanza.
Nilijiona nami nimeshaambukizwa, nilikosa amani, nyumbani naogopa kusema maana ukimwi ni ugonjwa wa aibu na kipindi hicho unyanyapa ulikuwa mkubwa sana. Nilinyamaza kimya na kubaki na mateso, niliona misha hayana thamani. Nilienda sekondari huko ndiko mawazo yalipokuwa mengi maana haikuwepo tena michezo ya utotoni. Kwa hofu nilianza kupata vidonda, sijui vilitoka wapi. Sikuwa na ujasiri wa kumwambia mtu, nilibaki nalo moyoni, nilibaki kuwa mpenzi wa majarida ya Femina. Nakumbuka kuna toleo moja la Femina lilitoa column moja yenye kichwa cha habari "Silence pain" . Hii ilikuwa ni stori ya dada mmoja alikuwa ameathirika ila hakuwa tayari kumwambia yeyote. Nami niliamua kuchukua falsafa yake , ingawa niliendelea kuumia zaidi. Nikiwa likizo kipindi niko kidato cha tatu, muda wa kurudi shule ulifika nikapewa ada na Mjomba wangu. Nikijiuliza kwa nini nipoteze muda na pesa za mjomba bure? Sirudi shule, kwa hofu nilianza kuumwa usiku huo na kesho yake nikapelekwa hospitali. Nilipimwa vipimo vingi ikiwamo na HIV, majibu yalitoka sina ugonjwa wowote. Nilipumua kwa nguvu na kufurahi, kesho yake nikarudi shule.
Ila baada ya wiki Ibilisi akarudi tena, mara nikaanza kusikia sauti ikiniambia walikudanganya bado una ngoma. Nilirudi kwenye mawazo moja, nilikuwa mtu nisiyejali chochote nilikuwepo tu ili siku ziende. Niliendelea na mawzo hadi kidato cha tano . Nikiwa likizo niliamua liwalo na liwe, nilienda hospitali ya mkoa morogoro na kupima kituo cha ushauri nasaha. Majibu yalikuwa negative, na hapa ndipo nilipopoonea na mawazo mabaya na hofu maana nilikutana na Mama ambaye alinipa ushauri vizuri sana. Alinifundisha mengi na kuniondolea hofu.
Nawashaurini wanajukwaa wenzangu, ukiwa na jambo lolote linalokutatiza maisha, tafuta mtu mmoja mwaminifu na mwambie kuliko kufa na mzigo moyoni, Watu ni dawa, unaloliona mlima kwa mwenzako ni tambarare
SAWA HONGERA UTAFUTACHO UTAKIPATANiliendelea kupima mara nyingi tu
UNA SHAURI NN SASA???Unaweza ukampima kumbe yupo kwenye window period (kipindi ambacho virus havionekani kwenye kipimo),ukapiga kavu na ukaambukizwa
[emoji23]Kwani Ukimwi umelipuka Tena?mbona wiki hii Kila Kona ni habari hizi?
Hahaha eti makato ya VAT.Nitapima siku si nyingi ila nina 65% kuwa niko safe hizo zilizobaki ni hofu pamoja na makato ya VAT