Hakuna jambo baya kama kuhisi umeathirika na unaogopa kwenda kupima

Yani hujaenda kupima, unajipa moyo kwamba huna kwavile tu unanenepa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Dalili hizo kama

Koo Kavu

Mafua baada ya wiki mbili tangu ukutane na muathirika (Zinaweza kuwa zaidi ya wiki mbili)

Kupungua Uzito/Kukonda

[emoji23]
😀sikia tu kwa mwingine!!Aiseeh..Tujilinde sana wakuu
 
Mzee kama ulikuwa kwenye akili yangu mi nilikonda hadi mother akaniuliza unawaza nn mbona haupo sawa,Nikamwambia majukumu tu yamekuwa mengi ila uhalisia ilikuwa ni hofu baada ya kusikia dogo niliyekuwa natoka nae ana moto alafu nkaishiwa nguvu zaidi baada ya mpenz wangu mpya nae kusikia alikuwa anatembea na mtu aliye na moto,Ki ufupi hofu ilinitesa maana nilikuwa na google dalili naona kma ninazo mbaya sana nilikuwa natafuta data mtaani zikawa zinanitisha zaidi ki ufupi hofu ilinizidi sana... ila siku moja nikajitoa ufahamu nkaenda kupima baada ya kusikia sana redion kuwa watu wanaish nao fresh tu so nkapata nguvu...nkaenda pharmacy kubwa mjini wakanipima na vile vidude ngoma ikasoma vzur,skuamini nikaenda hospital kwenye saa 5 hivi nkaambiwa npo fresh...ila ckuamini nkaenda kwa jamaa yangu ana ki dispensary hpo atleast nina moyo kidogo ndio maana nkaanza kusogelea watu wangu wa karbu napo hewa nkaamini sasa ila sehem zote waliniambia nichek after 3months...nkaanza kuhesabu sku zilipofka nkaenda hsptl ya rufaa tena nkakuta mzigo upo sawa kifupi nilimshukuru sana Mungu na nkatulizana...kupima kunakufanya uwe makini,unajiamini,utajali afya yako na unaweza waza future yako...Nashukuru kwa kunikumbusha ujana.
 
Tafuna ngozi mkuu...Ila usiuze tena game[emoji23][emoji23]
 
saiv kila nikikatiza humu nakutana na hizi threads ,nmelog out nakuta dem wangu kantext "unahitajika clinic na ww kesho wamesema twende wote"

nimemkubalia ntaenda ila lazma nipite sehem nipige konyag kuondoa hofu
 
saiv kila nikikatiza humu nakutana na hizi threads ,nmelog out nakuta dem wangu kantext "unahitajika clinic na ww kesho wamesema twende wote"

nimemkubalia ntaenda ila lazma nipite sehem nipige konyag kuondoa hofu
Hahaha
 
"kupima kunakufanya uwe makini,unajiamini,utajali afya yako na unaweza waza future yako"Uko sahihi sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…