Hakuna kabila linalompenda Rais Samia kama Wamasai

Hakuna kabila linalompenda Rais Samia kama Wamasai

Mmeanza eeh

Wampendee nini?

Acheni propaganda wamasai wanateseka
 
Hakuna kama mama. Uhuru na upendo ukizidi kama anavyofanya mama watoto waadilifu wana shukuru na walio potoka inabidi bakora itumike
 
Jambo lafiki,

Katika malaisi waliowahi kupita Tansania hakuna kama Laisi Samia. Sisi wamasai tunampenda kuliko makabila yote.

Kwansa, tumefulahi sana anavyoongosa kwa haki na demokrasia...
Huu uandikaji siyo wa mmasai
 
Back
Top Bottom