Hakuna kabisa dawa ya makosa yakututakasa ila damu yake Yesu

Hakuna kabisa dawa ya makosa yakututakasa ila damu yake Yesu

Ingia play store tafuta apk ya nyimbo za wokovu
Screenshot_20230515-222125.jpg


kati ya hizo tatu ni ipi?
 
Sioshwi dhambi zangu bila damu yake Yesu..

My fav hymn

Kuna wale wauza flash wanazungukaga stand wanazo mi nnayo kwenye flash yangu pia
 
78 Sioshwi dhambi zangu

1. Sioshwi dhambi zangu,
Bila damu yake Yesu.
Hapendezewi Mungu,
Bila damu yake Yesu.

Hakuna kabisa
Dawa ya makosa
Ya kututakasa,
Ila damu yake Yesu.

2. La kunisafi sina
Ila damu yake Yesu.
Wala udhuru tena,
Ila damu yake Yesu.

3. Sipati patanishwa,
Bila damu yake Yesu.
Hukumu yanitisha,
Bila damu yake Yesu.

4. Sipati tumaini,
Bila damu yake Yesu.
Wema wala amani,
Bila damu yake Yesu.

5. Yashinda ulimwengu,
Hiyo damu yake Yesu.
Na kutufikisha juu,
Hiyo damu yake Yesu.

6. Twaimba: Utukufu
Una damu yake Yesu.
Milele twaisifu,
Hiyo damu yake Yesu.

Shared from Tenzi za Rohoni app.
Click this link to download https://goo.gl/9HNM1M
 
Anayeijua hii tenzi anisaidie kwa kuipata na kama ana link ya audio anisaidie
78 Sioshwi dhambi zangu

1. Sioshwi dhambi zangu,
Bila damu yake Yesu.
Hapendezewi Mungu,
Bila damu yake Yesu.

Hakuna kabisa
Dawa ya makosa
Ya kututakasa,
Ila damu yake Yesu.

2. La kunisafi sina
Ila damu yake Yesu.
Wala udhuru tena,
Ila damu yake Yesu.

3. Sipati patanishwa,
Bila damu yake Yesu.
Hukumu yanitisha,
Bila damu yake Yesu.

4. Sipati tumaini,
Bila damu yake Yesu.
Wema wala amani,
Bila damu yake Yesu.

5. Yashinda ulimwengu,
Hiyo damu yake Yesu.
Na kutufikisha juu,
Hiyo damu yake Yesu.

6. Twaimba: Utukufu
Una damu yake Yesu.
Milele twaisifu,
Hiyo damu yake Yesu.

Shared from Tenzi za Rohoni app.
Click this link to download https://goo.gl/9HNM1M
 
Back
Top Bottom