Hakuna kabisa dawa ya makosa yakututakasa ila damu yake Yesu

Tatizo aibu zinanifelisha sana, nilishaombwa mno kuimba kwaya, ila nikiwa mwenyewe sasa naimba balaa😂😂
Ungekuwa karibu ningekulipia hata pesa ya kuingia studio. You've got a beautiful voice and should let others hear it for the blessing of LORD
 
Ngoja nijitahidi basi kama na wadhamini mmeshaanza kujitokeza
 
Back
Top Bottom