Sauti ya pili ya kike mnasehemu yenu special pale kwa BabaUngekuwa karibu ningekuimbia na sauti yangu ya pili hii,,, hakuna kabisa dawa ya makosa, ya kututakasa ila damu yake yesu,...
Asante sana, maana nakosaga kujiamini na huu mbesi,Sauti ya pili ya kike mnasehemu yenu special pale kwa Baba
Sauti ya pili ni kwa wateule wachache, Fanya tuipate mkuu pita pita hata kwa rajab zomboko pale tule chuma mkuuAsante sana, maana nakosaga kujiamini na huu mbesi,
78 Sioshwi dhambi zanguAnayeijua hii tenzi anisaidie kwa kuipata na kama ana link ya audio anisaidie
Tatizo aibu zinanifelisha sana, nilishaombwa mno kuimba kwaya, ila nikiwa mwenyewe sasa naimba balaaππHahah Sauti ya pili ni kwa wateule wachache, Fanya tuipate mkuu.. pita pita hata kwa rajab zomboko pale tule chuma mkuu
πππππ na yeye atakuonea aibuTatizo aibu zinanifelisha sana, nilishaombwa mno kuimba kwaya, ila nikiwa mwenyewe sasa naimba balaaππ
Jamaniii acha basiπππππ na yeye atakuonea aibu
Au ukizeeka ndo utajiungaJamaniii acha basi
πππKuimba mbele za watu sio fani yangu tuAu ukizeeka ndo utajiunga
Itakuwa O negative (universal donor)Hivi yesu alikuwa na blood group gani??