Hakuna kama "Beka Flavour" katika BongoFleva kwa sasa Tanzania

Mkaruka

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
19,629
Reaction score
34,199
Kiukweli kama unajua, unajua tu !

- Binafsi mimi ni mdau mkubwa sana wa muziki, namaanisha MUZIKI ambao una mpangilio mzuri wa maneno, melody na beats zinazoeleweka.
- Msanii Beka Flavor kwa sasa kiukweli anajua, ukisikiliza ngona zake ndo utajua kabisa bongo flavor imepata mkombozi

- Tunataka kupumzika kutoka kwenye muziki uliojaa MADRAMA YA NGONO, NIGERIAN FLAVOR na FLEVA ZA KUUNGA UNGA !
- Kuanzia sasa mimi nitakuwa shabiki mkubwa wa BEKA FLAVOR kwa Tanzania kwa kuwa nimechoka kulazimishwa kusikikiza ngoma mbovu eti kwa sababu tu ya ukubwa wa PROMO.

BEKA FLAVOR HITS:

1. Libebe


2. Sikinai

tps://www.youtube.com/watch?v=2FfRDWRtqs8


3. Sarafina



4. Kiben-Ten



Mbali na Beka Fleva, mimi pia ni shabiki mkubwa wa CHEMICAL



Nani anawakubali pia wasanii hawa !!
 
Mna uhusiano gani na huyo Beka Flavour?
 
Huyu atakuwa ni katibu wa uenezi ni itikadi wa huyo muimbaji
 
JAMAA AWEKEZE PIA KWA MADANCERS WA UKWELI!
ATANOGA SANA!
 
Kwamba sisi hatumjui kua anaimba au wewe tu ndio unaona mazuri yake? Mimi najua demu wako mbaya,kwa mtazamo wangu lakini.
 
Kwamba sisi hatumjui kua anaimba au wewe tu ndio unaona mazuri yake? Mimi najua demu wako mbaya,kwa mtazamo wangu lakini.
Sina demu Mkuu, mimi ni BASHA. NiPM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…