Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,052
- 4,104
Yupo kawaida anatoa nyimbo kubwa kuliko yeye ajibrand kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ya mhusika..kunogesha threadPicha ya nini boss
Hahaha, sawaya mhusika..kunogesha thread
Unamjua tunda mahoteli??? Unashindwa kumjua beka flavourBeka Flavour ndio nani?
Mondi alikuwa zamani, siku hizi anatumia jina tu, na domo lake limekuwa zitoo na anavyoimba kiingereza ndo kabisa hakuna kitu hapoBeka yupo sawa, ila huyu mondi na hii ngoma yake mpya sijui inaitwaje hakuna chochote biti kaiba kwa AY!!!
Ndio Tanzania hata uyo beka akija kifanikiwa kama diamond mutamchukia tuMondi alikuwa zamani, siku hizi anatumia jina tu, na domo lake limekuwa zitoo na anavyoimba kiingereza ndo kabisa hakuna kitu hapo
Ni kweli aisee jamaa anaimba ila swagg hanaawekeze kwenye swaga kidogo tatizo amekaa kishamba sana wa kienyeji kama bestnaso..kuimba ata chiriku anaimba
Acha kukaririshana AY kafanikiwa lini kimziki kama Diamond, toka Tanzania imepata Uhuru hakuna aliyrfanikiwa kimziki kama DiamondMbona AY hachukiwi au hajafanikiwa ?