Hakuna kama "Beka Flavour" katika BongoFleva kwa sasa Tanzania

Hakuna kama "Beka Flavour" katika BongoFleva kwa sasa Tanzania

Ata ikiwa hivyo bado itabaki kuwa Rinaldo ni bora kuliko messi
 
Beka yupo sawa, ila huyu mondi na hii ngoma yake mpya sijui inaitwaje hakuna chochote biti kaiba kwa AY!!!
 
Ebu acha kufananisha mziki ni vitu vya kipuuzi..
 
The Mafik hawa jamaa wakiwa serious watafika mbali
 
Beka yupo sawa, ila huyu mondi na hii ngoma yake mpya sijui inaitwaje hakuna chochote biti kaiba kwa AY!!!
Mondi alikuwa zamani, siku hizi anatumia jina tu, na domo lake limekuwa zitoo na anavyoimba kiingereza ndo kabisa hakuna kitu hapo
 
Back
Top Bottom