Tatizo hizi team zetu zinafanya mtu ata kama ana Akili timamu basi ajichetue tu makusudiMsimu huu kacheza 36 mpaka sasa......
Ligi 21+FA 3 + Mabingwa 12.
Ila watu wanaongea vitu vya ajabu hapa.
Hata hizo takwimu za ubingwa Mara 28 huwa siziamini hawa uto wanapenda kupika data.Tatizo hizi team zetu zinafanya mtu ata kama ana Akili timamu basi ajichetue tu makusudi
Hao ndio Yanga mzee inabidi tuwazoee kama tulivuosimuliwa changamoto zaoHawa waandika record waache uongo jamani, mkiwa manokoteza virecord huko muwe mnatumikisha Kwanza Akili kabla ya kuokota tu mbio mbio mwisho wa siku unaonekana KIAZI
wote tunajua kuwa mayele ni mchezaji mzuri sana na anafunga sana tu ila hakuna haja ya kupika Data za uongo uongo ili tu tuzidi kumpaisha, anachofanya bado ni kizuri bila ata uongo
Msimu uliopita ambao mayele alikuwa mfugaji Bora namba 2 katika ligi kuu bara, alikuwa na Goli 16 katika mechi 30, je msimu huu kacheza mechi ngapi hadi hivi sasa kwenye ligi Kuu Peke yake tupo mechi ya 24?
Sasa iweje leo iwe kacheza mechi 35? Let's say mwaka jana kwenye ligi Peke yake amecheza mechi 30, bado michuano ya kimataifa na ya ndani
msimu huu tufanye kacheza mechi 15 japokuwa amecheza zaidi ya hizo, hayq jumlisha mechi za CAF champions League,CAF confederation cup,Azam confederation cup
View attachment 2583479
Waongo sana hawa jamaa.Kuna vimtu viwili hapo siku hizi hata akijamba lazima viandike amevunja rekodi kwa kujamba mara moja tangu aje TanzaniaHata hizo takwimu za ubingwa Mara 28 huwa siziamini hawa uto wanapenda kupika data.
🚨HAKUNA KAMA FISTON MAYELE
FISTON MAYELE tangu alipojiunga Yanga amecheza michezo 35 na kufunga mabao 43 katika michuano yote yakiushindani
Tangu MAYELE alipotua Tanzania hakuna mchezaji aliyefunga mabao mengi kumzidi yeye.Mayele amefunga mabao mengi kuliko mechi alizocheza.
View attachment 2583328
Mkuu na wewe umeingizwa mjini kwamba tangu Mayele atue nchini amecheza mechi 35 tu?THE PREDATOR
Wenye akili ni hao [emoji111]Hawa waandika record waache uongo jamani, mkiwa manokoteza virecord huko muwe mnatumikisha Kwanza Akili kabla ya kuokota tu mbio mbio mwisho wa siku unaonekana KIAZI
wote tunajua kuwa mayele ni mchezaji mzuri sana na anafunga sana tu ila hakuna haja ya kupika Data za uongo uongo ili tu tuzidi kumpaisha, anachofanya bado ni kizuri bila ata uongo
Msimu uliopita ambao mayele alikuwa mfugaji Bora namba 2 katika ligi kuu bara, alikuwa na Goli 16 katika mechi 30, je msimu huu kacheza mechi ngapi hadi hivi sasa kwenye ligi Kuu Peke yake tupo mechi ya 24?
Sasa iweje leo iwe kacheza mechi 35? Let's say mwaka jana kwenye ligi Peke yake amecheza mechi 30, bado michuano ya kimataifa na ya ndani
msimu huu tufanye kacheza mechi 15 japokuwa amecheza zaidi ya hizo, hayq jumlisha mechi za CAF champions League,CAF confederation cup,Azam confederation cup
View attachment 2583479
Simba, wao kufungqa na Yanga, WANASEMA NI NI BORA AFUNGE YEYOTE LAKINI SIYO MAYELE..!!! Ushangiliaji wa Mayele unakera sana wasiompenda wallah..!! Sisi tuompenda, akitetema tunatetema naye kwa raha zetuMayele anajua sio siri nina rafiki yangu ni simba damu damu ila anakuambia mayele analijua goli. Sina ushabiki lakini kwa kusikiliza redio tu nimemjua mayele ni mfungaji mzuri naamini kwa wanaojua mpira na sio washabiki maandazi lazima wamkubali mayele amefanya vizuri sana na anajua mpira.
Naamini ndio ushabiki japo sikuhizi watu wanaweka chuki tuSimba, wao kufungqa na Yanga, WANASEMA NI NI BORA AFUNGE YEYOTE LAKINI SIYO MAYELE..!!! Ushangiliaji wa Mayele unakera sana wasiompenda wallah..!! Sisi tuompenda, akitetema tunatetema naye kwa raha zetu
Hapa manyonyo ni Simba, maana ndo watatetemeshwa..!!! Subiri, nimekaa palee....!!Mayeree mtetemesha manyonyo
VIVA MAYELEEE VIVA YOUNG AFRICAN🚨HAKUNA KAMA FISTON MAYELE