Hakuna kama Mayele Tanzania

Hakuna kama Mayele Tanzania

Namba za JEAN BALEKE zinatisha[emoji1316][emoji1316] amefunga mfululizo kwenye mechi tano (5) za mashindano yote [Ligi Kuu, Kombe la Shirikisho la TFF na Ligi ya Mabingwa Afrika].

Katika hizo mechi tano (5) amefunga jumla ya magoli 11 ikiwa ni hat-trick mbili, magoli mawili (brace) kwenye mechi moja mara mbili na goli moja kwenye mchezo mmoja!

[emoji460]️[emoji460]️ vs Ihefu [NBC PL]
[emoji460]️[emoji460]️[emoji460]️ vs Ihefu SC [ASFC]
[emoji460]️ vs Raja AC [CAF CL]
[emoji460]️[emoji460]️ vs Horoya AC [CAF CL]
[emoji460]️[emoji460]️[emoji460]️ vs Mtibwa Sigar [NBC PL]
 
Hawa waandika record waache uongo jamani, mkiwa manokoteza virecord huko muwe mnatumikisha Kwanza Akili kabla ya kuokota tu mbio mbio mwisho wa siku unaonekana KIAZI

wote tunajua kuwa mayele ni mchezaji mzuri sana na anafunga sana tu ila hakuna haja ya kupika Data za uongo uongo ili tu tuzidi kumpaisha, anachofanya bado ni kizuri bila ata uongo

Msimu uliopita ambao mayele alikuwa mfugaji Bora namba 2 katika ligi kuu bara, alikuwa na Goli 16 katika mechi 30, je msimu huu kacheza mechi ngapi hadi hivi sasa kwenye ligi Kuu Peke yake tupo mechi ya 24?

Sasa iweje leo iwe kacheza mechi 35? Let's say mwaka jana kwenye ligi Peke yake amecheza mechi 30, bado michuano ya kimataifa na ya ndani

msimu huu tufanye kacheza mechi 15 japokuwa amecheza zaidi ya hizo, hayq jumlisha mechi za CAF champions League,CAF confederation cup,Azam confederation cup
View attachment 2583479
Hao ndio Yanga mzee inabidi tuwazoee kama tulivuosimuliwa changamoto zao
 
🚨HAKUNA KAMA FISTON MAYELE
FISTON MAYELE tangu alipojiunga Yanga amecheza michezo 35 na kufunga mabao 43 katika michuano yote yakiushindani

Tangu MAYELE alipotua Tanzania hakuna mchezaji aliyefunga mabao mengi kumzidi yeye.Mayele amefunga mabao mengi kuliko mechi alizocheza.
View attachment 2583328

Yaani Mayele amecheza mechi 35 tu? Nina shaka na takwimu hizi
 
Hawa waandika record waache uongo jamani, mkiwa manokoteza virecord huko muwe mnatumikisha Kwanza Akili kabla ya kuokota tu mbio mbio mwisho wa siku unaonekana KIAZI

wote tunajua kuwa mayele ni mchezaji mzuri sana na anafunga sana tu ila hakuna haja ya kupika Data za uongo uongo ili tu tuzidi kumpaisha, anachofanya bado ni kizuri bila ata uongo

Msimu uliopita ambao mayele alikuwa mfugaji Bora namba 2 katika ligi kuu bara, alikuwa na Goli 16 katika mechi 30, je msimu huu kacheza mechi ngapi hadi hivi sasa kwenye ligi Kuu Peke yake tupo mechi ya 24?

Sasa iweje leo iwe kacheza mechi 35? Let's say mwaka jana kwenye ligi Peke yake amecheza mechi 30, bado michuano ya kimataifa na ya ndani

msimu huu tufanye kacheza mechi 15 japokuwa amecheza zaidi ya hizo, hayq jumlisha mechi za CAF champions League,CAF confederation cup,Azam confederation cup
View attachment 2583479
Wenye akili ni hao [emoji111]
 
Ni jumapili tu huyo BAREHE wao watamuona kama WAWA tu
 
Mayele anajua sio siri nina rafiki yangu ni simba damu damu ila anakuambia mayele analijua goli. Sina ushabiki lakini kwa kusikiliza redio tu nimemjua mayele ni mfungaji mzuri naamini kwa wanaojua mpira na sio washabiki maandazi lazima wamkubali mayele amefanya vizuri sana na anajua mpira.
Simba, wao kufungqa na Yanga, WANASEMA NI NI BORA AFUNGE YEYOTE LAKINI SIYO MAYELE..!!! Ushangiliaji wa Mayele unakera sana wasiompenda wallah..!! Sisi tuompenda, akitetema tunatetema naye kwa raha zetu
 
Naamini ndio ushabiki japo sikuhizi watu wanaweka chuki tu
 
Back
Top Bottom