Hakuna kama Tyla Afrika, awa gumzo tuzo za MTV European Music (EMAs) 2024

Hakuna kama Tyla Afrika, awa gumzo tuzo za MTV European Music (EMAs) 2024

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Mwanamuziki Tyla ameweka rekodi kwa kuwa msanii wa kwanza kutoka Afrika kushinda tuzo tatu usiku mmoja katika tuzo za MTV European Music Awards (EMAs) za mwaka 2024 zilizofanyia usiku wa kuamkia leo Manchester.
1731308520451.png
Tyla ameshinda Tuzo ya Best Afrobeats, Best R&B Award na Tuzo ya Msanii Bora wa Afrika, hatua iliyomfanya kuwa gumzo na kuongeza hadhi yake kimataifa katika tasnia ya muziki.

Pia, Soma:
 
Back
Top Bottom