Fortilo
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 5,807
- 17,416
One of the most reckless statement ever...
Kauli ya kizembe sana..
Mtu anafanya kaz serikalin au kwa Kampuni binafsi unamwambia tafuta hela?
Unataka aibe au?
Na hii kauli ya reja reja sio ya bahati mbaya, ni ya machekbobu wanaotamba kwenye mitandao na scraps za dola 10-15k.
Hii kauli inakuwa ya kizembe zaid inavyotolewa na viongozi.
Asili ya neno hili ni tafsiri sisisi ya neno la kimombo " make money" kutoka kwa ma hustlers wa kimarekani wanaofanya biashara za drugs, raps nk... biashara zenye uharam flani hivi.... ndio mambo ya make money yameanzia...
Unamwambiaje Daktari au Mfamasia au Nurse, Mwanajeshi, Zimamoto, Mwalimu Polisi a make money? Unataka waue watu Au wafanye side huslte ambazo zitaondoa ufanisi wao wakaz.
Vijana wanatakiwa wahimizwe kufanya kaz kwa bidii, sio kutafuta pesa.
Hata kwenye biashara halali, no one is doing it only for money.
Na pesa kwenye biashara sio hadithi za siku au mwaka mmoja.. ni effort ya miaka nenda rudi.
Kusema kweli hii kauli ni mbovu na ya kizembe iliyojaa majivuno sana...
Uki comment Tafuta hela nakuweka kwenye " ignore" list😂