Hakuna kazi ngumu kama kusoma shule

Nimesoma PCM Ila Leo ndo nasikia Kuna lugha inaitwa physics,chemestry na Mathematics kweli awamu ya tano Ina Mambo mengi mno
Inawezekana wakawa na lugha yao, maana watu wa kada hizi Kiswahili hawajui, Kiingereza hawajui.
 
Kwa hiyo Sasa unakubaliana na Mimi kuwa ukiwa na akili Kama sisi tuliosoma shule maalum kusoma hakujawahi kuwa kazi ngumu
Jnasikia huko mzumbe wanafunzi wanatembea na vyombo vya kulia kwemye begi,af usingizi ni anasa
.Sisi tuliosoma day school za enzi hizo tulikula bata sana mtaani.Unakutana na mademu,michezo,marafiki wapya, ujasiriamali.Aisee day school sijutii kabisa.
 
Sasa, kama kusoma sio kazi ngumu yanini wakeshe kama bundi.
 
Ukiwa na akili Kama sisi tuliosoma shule za watoto wenye vipaji maalum kule Mzumbe na Ilboru,kusoma hakukuwahi kuwa kazi ngumu
Nimemaliza ilboru pcm 2016 , msiwe mnawakaririsha watu kuwa shule zile za vipaji ni za watu wenye akili nyingi . nakumbuka nilipangiwa pale nikiwa na 1 ya 15 hiyo ni 2013 shule ya msingi sikuwahi kusoma ya vipaji maalum.
 
Jnasikia huko mzumbe wanafunzi wanatembea na vyombo vya kulia kwemye begi,af usingizi ni anasa
.Sisi tuliosoma day school za enzi hizo tulikula bata sana mtaani.Unakutana na mademu,michezo,marafiki wapya, ujasiriamali.Aisee day school sijutii kabisa.
Mkuu kule mzumbe vilaza pia walikuwa wanakuja,wale walioiba mitihani darasa la Saba na form four walikuwa wanakuja pia na ndo hao walikuwa wanasoma hadi wanapata kichefu chefu katika jitihadi za kumaintain status Ila sisi wazawa,prepo ilikuwa mwisho saa nne na disco kule kilakala tulikuwa hatukosi mazee
 
Nimesoma PCM Ila Leo ndo nasikia Kuna lugha inaitwa physics,chemestry na Mathematics kweli awamu ya tano Ina Mambo mengi mno
Yaaan weee khaaaah [emoji23][emoji23]
 
Mkuu sio kweli jamaa zangu wa kibaha walikuwa hata hawashindi bwenini muda wote ni kubundika tu,
 
Ukiwa huna akili shule ni ngumu aiseee hasa secondary yani masomo yooooote kidhungu kasoro kiswahili???????? Heri form six mwende jkt mada za kitoto zinazidi
 
Nimemaliza ilboru pcm 2016 , msiwe mnawakaririsha watu kuwa shule zile za vipaji ni za watu wenye akili nyingi . nakumbuka nilipangiwa pale nikiwa na 1 ya 15 hiyo ni 2013 shule ya msingi sikuwahi kusoma ya vipaji maalum.
Mkuu sina hakika Kama hadi 2013 zilikuwa bado ni shule za watoto wenye vipaji maalumu kwa uhalisia wake,maana shule hizi zilipewa hiyo hadhi mwaka 1991 na mwaka 1992 zikaanza kuchagua hao vipanga,zikaleta walimu Bora kabisa,kupewa vitabu vingi na budget kubwa. Ni shule pekee za boarding za serikali ambazo wanafunzi wake tulikuwa tunakula wali kuku hata wiki zima,Sasa wewe hiyo uliyosoma nadhani ilikuwa imebaki jina tu ndo maana ukaweza kujiunga na one ya 15
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…