Kwani Mimi nimesemaje? Vilaza siku zote hutumia muda mwingi kusoma maana wanakariri tu,huwa hawasomi ili waelewe bali kukariri na ndo hao wanadesign barabara za ajabu ajabu sasaMkuu sio kweli jamaa zangu wa kibaha walikuwa hata hawashindi bwenini muda wote ni kubundika tu,
Hahahaaaaaaaaa, acha uongo mkuu,Kwani Mimi nimesemaje? Vilaza siku zote hutumia muda mwingi kusoma maana wanakariri tu,huwa hawasomi ili waelewe bali kukariri na ndo hao wanadesign barabara za ajabu ajabu sasa
Take it from meHahahaaaaaaaaa, acha uongo mkuu,
sasa kama kusoma sio kazi kwanini watu wanasoma kwa bidii?Hahahaaaaaaaaa, acha uongo mkuu,
Ndo waliona Kama kusoma ni kazi ngumu sana"Wale waliokuwa hawaelewi kinachoendelea darasani"
If studying is not a hard job, why most people study hard?Mi sijawahi kuona Kama kusoma ni kazi. Ila kazi tkt applicability ya hiyo elimu in your context hapo ndipo Kuna kazi ngumu
If studying is not a hard job, why most people study hard?Ndo waliona Kama kusoma ni kazi ngumu sana
Kumbe unaulizia makofi police?Yeah, exactly
Wale wanaolazimisha kusoma wakati akili hawana,hata kazi mkuu,ukiona unatumia nguvu sana kudeliver basi hiyo kazi size yako achana nayo hata Kama Ina mshahara mkubwaIf studying is not a hard job, why most people study hard?
I need the answer of this quiz.Kumbe unaulizia makofi police?
Kuanzia 2016 kwa muongozo wa waziri wa Elimu Prof Ndalichako, kuchaguliwa special school ni km hivi.Nimemaliza ilboru pcm 2016 , msiwe mnawakaririsha watu kuwa shule zile za vipaji ni za watu wenye akili nyingi . nakumbuka nilipangiwa pale nikiwa na 1 ya 15 hiyo ni 2013 shule ya msingi sikuwahi kusoma ya vipaji maalum.
Sio rahis kihivyo,Hivi unategemea mtu anasoma degree ya mathematics miaka mitatu ajieleze kuzidi akina Makonda waliosomea degree za Art mkuu, let say mtu kasomea history
Mkuu mbona uneshajibiwa na watu wengi tuuuu. kwamba Kama akili hauna basi kusoma ni kazi ngumu sanaI need the answer of this quiz.
If studying is not a hard job, why most people study hard?
Hahahaaaaaaaaaaaa, mmmmmmmmm, nasikia harufu ya uongo hapa.Wale wanaolazimisha kusoma wakati akili hawana,hata kazi mkuu,ukiona unatumia nguvu sana kudeliver basi hiyo kazi size yako achana nayo hata Kama Ina mshahara mkubwa
Their answers are not correctMkuu mbona uneshajibiwa na watu wengi tuuuu. kwamba Kama akili hauna basi kusoma ni kazi ngumu sana
If you have the answer,why you keep asking the same questionTheir answers are not correct
PCM then degree in Engineering Kisha mscHahahaaaaaaaaaaaa, mmmmmmmmm, nasikia harufu ya uongo hapa.
You can not perform well in studies without applying an effort. For what I know, labda wewe mwenzangu umesoma combination gani na chuo umesomea degree ya nini. Naomba tuanzie hapo,
na chuo GPA yako ni ngapi.
na utupe publication yako uliyo andika ili kutoa mchango kwenye elimu
No, I've no answer but if I try to meditate your answers they're not right.If you have the answer,why you keep asking the same question
Engineering ya nini mkuuPCM then degree in Engineering Kisha msc