Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 9,397
- 12,415
- Thread starter
-
- #121
Inawezekana mkuu, ukipiga 1 ya 15 alafu kwenye comb una banda zote (AAA). Unachaguliwa Mzumbe au Kibaha kilaini kabisa.Nilihisi kakosea labda!
1 ya 15 sayansi haiwezekani! Jamaa kaongea chai tu.
Na huwa ngumu zaidi pale ambapo huelewi kile unachosoma au unachofundishwa.....Leo nilikua nawaza jinsi kazi ya kusoma ilivyo ngumu.
Mkuu kuna kozi zingine hata ufundishwe vipi hazieleweki.Na huwa ngumu zaidi pale ambapo huelewi kile unachosoma au unachofundishwa.....
Kuna kozi inaitwa Seismology, unaweza tafuta watalaam wa hiyo kozi usiwakute Africa nzima. Hiyo kozi sio ya mchezo mchezo.Na huwa ngumu zaidi pale ambapo huelewi kile unachosoma au unachofundishwa.....
Inategemea na unachosoma, kama unasoma history, English, Kiswahili, Biology, Economics, Accounting sawa, lakini sio Physics, chemistry and Mathematics.mimi kusoma ni starehe kama bata zingine
Mfano nani huyo alipata Phy-A Math-A Chem-A halafu akapata 1 ya 15?Inawezekana mkuu, ukipiga 1 ya 15 alafu kwenye comb una banda zote (AAA). Unachaguliwa Mzumbe au Kibaha kilaini kabisa.
Ngoja nikuletee matokeo ya olevel Ifunda TechMfano nani huyo alipata Phy-A Math-A Chem-A halafu akapata 1 ya 15?
Leta.Ngoja nikuletee matokeo ya olevel Ifunda Tech
Mkuu si kweli pesa pia tatzo nina wadogo zangu wa mbali wote wamesoma minaki PCB na kupata one za point 8 mmoja ana BBD mwingine ana CBC...hao wote wamepata principle za kusomea MD ila kwa serikalini upinzani mkali kwanj MuHas wanachukua mwisho 6 na udom mwisho 7 ikabdi.....so hapo mmoja akaenda zake degree ya unesi muhas pale n mwingine kwao umatemte upo anapiga MD kairuki.Hahahaaaaa, mkuu huo ndio ukweli.
Enzi hizo PCM wote walikua wanaiwaza Tele tu.
Ni sawa na sasa hivi, jaribu kumwuuliza PCB yeyote unapenda kuwa nani, jibu utakalopata ni napenda kuwa MEDICAL DOCTOR.
Kwa hiyo ni vilaza tu wanaoshindwa kujiunga na Doctor of Medicine kwasasa.
Wanao kimbilia Nursing, pharmacy ndio vilaza wenyewe nao wazungumzia hao.
Wanakimbilia hizo kozi kwasababu marks zao hazitoshelezi.
Meme nilipata 16 ila nilikuwa na A pyhz, A math, A bioz na B chem ...hayo masomo sijawah pitwa darasan o level yangu.Mfano nani huyo alipata Phy-A Math-A Chem-A halafu akapata 1 ya 15?
Ukapelekwa shule gani?Meme nilipata 16 ila nilikuwa na A pyhz, A math, A bioz na B chem ...hayo masomo sijawah pitwa darasan o level yangu.
Hao jamaa achana nao hawazijui technique za kusoma ndio sababu. Kuna watu wanasoma kwa mipango sio kusoma soma tu. Una concentrate na masomo machache kisha unabandua one ya kawaida alafu kwenye comb un AAA. Na shule za advance zinaangalia kwenye comb.Meme nilipata 16 ila nilikuwa na A pyhz, A math, A bioz na B chem ...hayo masomo sijawah pitwa darasan o level yangu.
Me najua wanaangalia una point ngap kwenye comb unayoitaka kuna mwana alikuwa na 15 ila alipata ABB A ya math kaenda tabora na kuna mwana kapata 14 ana A bioz , A chem , Amath , A phys kaenda iliboru ...watu wengine walishjichagulia masomo tok o level ...UPCM na UPCB ulituharu mapema kupiga one kali za 789 kitu ambacho kilikuwa kinawezekn najutaga sna.Hao jamaa achana nao hawazijui technique za kusoma ndio sababu. Kuna watu wanasoma kwa mipango sio kusoma soma tu. Una concentrate na masomo machache kisha unabandua one ya kawaida alafu kwenye comb un AAA. Na shule za advance zinaangalia kwenye comb.
Mkuu nimesema hpo Juu nilichagua ya kwnza pugu na nikaeenda huko.Ukapelekwa shule gani?
Nimesoma PCM Ila Leo ndo nasikia Kuna lugha inaitwa physics,chemestry na Mathematics kweli awamu ya tano Ina Mambo mengi mno
Ulipata grade gani form 6 mkuu?Mkuu nimesema hpo Juu nilichagua ya kwnza pugu na nikaeenda huko.
Nilichugua pugu minaki za azania tu sikutaka kutoka nje ya dar......
Hafu mbona hao special school tumewakimbiza kibao tu necta weupe tu wacheche sana ndo walikuwa wanajua mambo!
Nilifeli mkuu........nili-differentiate constant!Ulipata grade gani form 6 mkuu?