Hata kingekuwa cha sitini kama bado kimataifa hamuwafikii simba basi hamjawazidi kwa chochote labda propaganda na mbinu za nje ya uwanja tu sana sana mnaonekana huwa mnawakamia tu simba na si kwamba ndio uwezo wenu halisi, tofautisheni kati ya wachezaji bora na wakamiaji hao wachezaji wenu wanakamia baadhi ya mechi hadi wengine wanaumia wanaishia kukosa mechi nyingine muhimu, ndio maana mkikutana na timu ndogo ambazo hamzikamii mnapigwa ila simba hawafungwi na timu ndogo wanafungwa na yanga tu sababu mpira wao siyo wa kukamia wanavyocheza na timu ndogo ndivyo wanavyocheza na timu kubwa sababu ule ndio uwezo wao halisi