Hata kingekuwa cha sitini kama bado kimataifa hamuwafikii simba basi hamjawazidi kwa chochote labda propaganda na mbinu za nje ya uwanja tu sana sana mnaonekana huwa mnawakamia tu simba na si kwamba ndio uwezo wenu halisi, tofautisheni kati ya wachezaji bora na wakamiaji hao wachezaji wenu wanakamia baadhi ya mechi hadi wengine wanaumia wanaishia kukosa mechi nyingine muhimu, ndio maana mkikutana na timu ndogo ambazo hamzikamii mnapigwa ila simba hawafungwi na timu ndogo wanafungwa na yanga tu sababu mpira wao siyo wa kukamia wanavyocheza na timu ndogo ndivyo wanavyocheza na timu kubwa sababu ule ndio uwezo wao halisiKipigo cha 6 mfululizo π π€£π
We kweli ndo mbumbumbuHata kingekuwa cha sitini kama bado kimataifa hamuwafikii simba basi hamjawazidi kwa chochote labda propaganda na mbinu za nje ya uwanja tu sana sana mnaonekana huwa mnawakamia tu simba na si kwamba ndio uwezo wenu halisi, tofautisheni kati ya wachezaji bora na wakamiaji hao wachezaji wenu wanakamia baadhi ya mechi hadi wengine wanaumia wanaishia kukosa mechi nyingine muhimu, ndio maana mkikutana na timu ndogo ambazo hamzikamii mnapigwa ila simba hawafungwi na timu ndogo wanafungwa na yanga tu sababu mpira wao siyo wa kukamia wanavyocheza na timu ndogo ndivyo wanavyocheza na timu kubwa sababu ule ndio uwezo wao halisi
Wasipomfukuza Mangungu atakua kakalia kuti kavu, maana lawama zote kwake.Kama simba wataingia kwenye mtego wakumfukuza kocha nitawaona wajinga sana
Kama hamkamii mbona mnafungwa na timu ndogo na kimataifa mnaishia makundi simba msimu uliopita kimataifa imefungwa na timu kubwa, na huku ndani imefungwa na yanga na singida ambao ni wakamiaji tu yani kama mtaendelea kuishia makundi huko kimataifa nawaambia hata muifunge simba mara mia, hatutakaa tuwaheshimu sana sana mtafanya watu watilie mashaka huu ushindi wenu wa ndani mnapataje kama kimataifa kunawashindaWe kweli ndo mbumbumbu
Hata hatukamii Simba
Simba ni demu wetu tunakula kote kote kadili tutakavojisikia
Kuyapiga mambumbumbu laZima
Simba msimu uliopita imecheza shirikisho yaani UMISETA mashindano ya akina mama.Kama hamkamii mbona mnafungwa na timu ndogo na kimataifa mnaishia makundi simba msimu uliopita kimataifa imefungwa na timu kubwa, na huku ndani imefungwa na yanga na singida ambao ni wakamiaji tu yani kama mtaendelea kuishia makundi huko kimataifa nawaambia hata muifunge simba mara mia, hatutakaa tuwaheshimu sana sana mtafanya watu watilie mashaka huu ushindi wenu wa ndani mnapataje kama kimataifa kunawashinda
Kwamba ninyi hapo mlipo mnajiona mmemzidi ubora berkane, na ninyi mlipocheza hiyo umiseta mbona bado mlikuwa mnajiona bora, anyway ndio nasema msimu huu jitahidini muwazidi simba huko vinginevyo sijui mtasingizia niniSimba msimu uliopita imecheza shirikisho yaani UMISETA mashindano ya akina mama.
Ni timu Gani kubwa inacheza hayo mashindano ya ovyo kama UMISETA?
Sisi hatushindani na Simba tunayempiga kadiri tunavojisikiaKwamba ninyi hapo mlipo mnajiona mmemzidi ubora berkane, na ninyi mlipocheza hiyo umiseta mbona bado mlikuwa mnajiona bora, anyway ndio nasema msimu huu jitahidini muwazidi simba huko vinginevyo sijui mtasingizia nini
Hata wewe si marasta na unavaa miwani? Kachukue timu uifundishe bosi.Kama simba wataingia kwenye mtego wakumfukuza kocha nitawaona wajinga sana
DuhHata wewe si marasta na unavaa miwani? Kachukue timu uifundishe bosi.
Hivi unapataga hata mida wa kupiga mswaki we jamaa maana kila saa upo hewani JF.
Ngoja nikuweke na hii ID yako ignore tu hauna hojaHivi unapataga hata mida wa kupiga mswaki we jamaa maana kila saa upo hewani JF.
Kula kulala mna raha sana.
Acha mikwara mbuzi na kujipa umuhimu usiokuwa nao kwenye maisha ya mtandaoni kwa mtu usiomjua we dogo.Ngoja nikuweke na hii ID yako ignore tu hauna hoja
Umuhimu nimejipa wapi ? Kuzuia kuona maudhui ya mtu ni haki yangu .Acha mikwara mbuzi na kujipa umuhimu usiokuwa nao kwenye maisha ya mtandaoni kwa mtu usiomjua we dogo.
Kama hamshindani mbona kutwa mnawafuatilia simba kila wanachosema mnajitetea na kila wanachofanya mnajibu na hii siyo mashabiki tu hadi viongozi wenu, mnatumia nguvu kubwa kujitetea pamoja na makombe yenu yani mimi nilitegemea huo ubingwa wenu ndio uwatetee ila mnaona haitoshi mnatumia hadi maneno, ndio maana nasema tufanye simba ni mbovu kwahiyo maana yake ni kwamba kamwe hamuwezi kuifunga simba ikiwa bora mnasubiri hadi iwe mbovu tena kwa figisu na propaganda zenu tuSisi hatushindani na Simba tunayempiga kadiri tunavojisikia
Simba ni kama Namungo tu.
Yaani nashindana vipi na timu ambayo naifunga mara 6 mfululizo na Bado nitaendelea kumpakata
Simba ni mke wetuKama hamshindani mbona kutwa mnawafuatilia simba kila wanachosema mnajitetea na kila wanachofanya mnajibu na hii siyo mashabiki tu hadi viongozi wenu, mnatumia nguvu kubwa kujitetea pamoja na makombe yenu yani mimi nilitegemea huo ubingwa wenu ndio uwatetee ila mnaona haitoshi mnatumia hadi maneno, ndio maana nasema tufanye simba ni mbovu kwahiyo maana yake ni kwamba kamwe hamuwezi kuifunga simba ikiwa bora mnasubiri hadi iwe mbovu tena kwa figisu na propaganda zenu tu
Kama ninyi mnavyoliwa unyumba na timu nyingineSimba ni mke wetu
Kumla unyumba sio ajabu
Mkibanwa kwa hoja ndio huwa mnakimbilia matusi kama hiviSimba ni demu wetu
Ambaye yeye Huwa anafurahia dudu aka libolo fc ya yanga