Hakuna Kazi ngumu kwa wanawake kama Kupata Mume au mtu wa kuishi naye katika majiji makubwa

Uliyosema ni ya kweli si kwenye majiji peke yake bali kote nchini wanawake wanaohitaji kuolewa ni wengi ila waoaji ndo hamna. Yaani siku hizi uhitaji wa kuolewa ni mkubwa kuliko uhitaji wa kuoa. Kuna jamaa alitangaza anatafta mke yaani kila siku anatumiwa picha za wadada ambao wako tayari tena waje kwa nauli yao ye asitoe hata sh mia wengine wanamuahidi kumwongezea mtaji kwenye biashara zake.
 
Hii kama vile fursa, mtu unaeza amua kuwa dalali wa mapenzi......ukitafutia wachumba wanakupa percent yako.

Ngoja niandae plan nzuri.

Watu wengi wanafanya hii.. instagram kuna wajanja wanapiga sana hela hasa za wanawake.

Mfano mtu anayejiita dokta ushauri yeye anakula sana elfu 20 za watu
 
Bidhaa adimu hutafutwa popote ilipo.
Wanawake wengi wa sasa wanajirahisi sana ndomana hata kuoa ni kugumu, farasi ukishampanda......
Naamini wanawake wakija na mkakati kwamba hakuna kumpa mwili mwanaume asiyefunga ndoa naye, wanaume wengi sana wataoa.
 
Hii nzuri sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…